Napendekeza, mwizi akiwa amevaa hijab asikamatwe!

Inabidi huu usimamizi wa maadili ya dini ufike hadi kule wadada poa wanakotumia vibaya hili vazi kuuza kuongeza market value ya miili yao. Otherwise tutajua ni usanii tu wa kisiasa na tutaendelea kuwala wadada. Udini wa JK ndio chanzo cha hizi propaganda lakini Mungu hapendi na hasira zake zitashuka oktoba 2
 
Kwa hii picha - lazima niwa suport watu wa marekani.

Ndugu hilo vazi limepigwa vita kwenye nchi nyingi za Ulaya. Ukilivaa unapigwa faini. Hata mimi nikikutana na mtu amevaa hivyo huwa napita mbali kidoga maana huwezi jua kama ana silaha au vipi.
 
Chadema kaza buti, hakuna kumuomba msamaha huyo dc, hawa madc rc wamezoea na kama kuna watu wataangalia Hijab zaidi kuliko kosa alilofanya dc basi wawe hivyo hivyo.
 
Hivi wakati wa kupiga picha za passport ni lazima kuvua hijab. Nao ni udhalilishaji? CCM mbona wanawapelekesha puta jamaa wa kiislam?. MAra mahakama ya Kadhi halali yao mara sio? kwa nini wanacheza na akilizao hawa jamaa!
 
Tusiyageuze hayo mavazi kinga ya wahalifu.
Mhalifu yeyote wa dini yeyote wa chama chochote wa kabila lolote akiwa amevaa nguo yeyote lazima ashughulikiwe mara moja.

Ni kweli nchi zilizopiga marufuku uvaaji hijabu si kwamba haziwapendi waislamu, bali mavazi hayo yamekithiri kwa kuficha wahalifu(mfano Ufaransa),angaila iraq afgan,pakstan wahalifu wengi wengi wamekuwa wakitumia mavazi hayo kuficha uhalisia wao,kama tutajadili vazi na kupuuza matendo maovu ya mvaa vazi basi ni sawa na kusema ukitaka kufanya uhalifu na usichukuliwe hatua vaa vazi fulani la kidini.
just my feelings,nisieleweke vibaya
 
Crap. Nenda kawaambie mbumbumbu wenzio uchafu wako huu! Kukamata mtu ndi kumdhalilisha na kutaka kumbaka?
Hivi kuna mtu anaweza kubaka kile kitu kile???!!!

labda kichaa!!!!
 
Uchaguzi mdogo jimbo la igunga umenifungua macho na masikio na kuweza kutambua uelewa wa baadhi yetu, sijui kama ni makusudi au hisia tumeamua kuweka akili zetu pembeni. DC alituhumiwa na CHADEMA kwamba alikuwa anafanya mipango ya uchakachuaji. badala ya watu kuongelea tuhuma wanaongelea mavazi aliyovaa DC, hii inawezekana ni kutaka watu wasiongee ukweli ambao ni wizi wa kila uchaguzi unapofanyika na badala yake waongelee mavazi.

Kwa kuwa mavazi ya dini yanaonekana ni muhimu kuliko matendo ya mvaaji, napendekeza mwizi, fisadi, jambazi akiwa amevaa hijabu, kanzu au baraghashia asiguswe. Hata akionekana kwenye kamera za supermarket akificha bidhaa kwenye hijab asiguswe kabisa maana hilo ni vazi tukufu !!!

Nawakilisha wana JF

napendelea Mambo ya Dini yasiingilie huku..
 
Hahahaha....! Wala hurusiwi kumsemesha, bali unaruhusiwa kumpiga picha tu....!
 
swala hijab ni vazin tukufu la kiislam. kama sister haguswi kwanini yeye avuliwe hijab. jee kwanini wasimchukue huku Hijab ikiwa kichwani. hapa chadema mmechemka.
Akili zako kama mwezi mwandamo,nilini ushungi ukawa hijab?
 
nijuavyo mimi user wa kawaida hana access ya kupost picha.hapa kuna siri kubwa ya post hii
MS, check kitu hicho!!!
yani mimi nikiona hilo vazi na jicho la hivyo lazima michakato ianze!!
k6389342.jpg
 
wangejua wezi na wanaojilipua huko afghastan,iraq,pakistan n.k wanatumia mavazi kama hayo kujilipua wangefunga midomo yao,
hao waliotoahayo matamko wana wana uelewa mdogo
 
Wakuu kuna kosa limefanyika,inabidi Chadema wafanye 'maamuzi magumu' na kukubali kuna ukiukwaji umetokea.Hebu someni raiamwema ya jana karibu makala nne zinazungumzia mada ya DC na hamna hata moja inayotetea hoja za Chadema.
Chadema waliwekewa mtego wameingia kichwa kichwa na sasa tunaongelea DC wa Igunga badala ya hoja za uchaguzi.

of course, japo tunaendelea kujiuliza kuwa iwapo sheria za arrest zinafahamiwa vyema na raia.........

lakini pia je, ilikuwaje DC anafanya mkutano bila polisi??? haukuwa wa haramu huo?
 
Wakuu kuna kosa limefanyika,inabidi Chadema wafanye 'maamuzi magumu' na kukubali kuna ukiukwaji umetokea.Hebu someni raiamwema ya jana karibu makala nne zinazungumzia mada ya DC na hamna hata moja inayotetea hoja za Chadema.
Chadema waliwekewa mtego wameingia kichwa kichwa na sasa tunaongelea DC wa Igunga badala ya hoja za uchaguzi.

Be careful the way you judge things! Huwezi kukituhumu chama kwa kutumia maoni ya gazeti!
 
Nami napendekeza mwizi akiwa amevaa rozari, msalaba asikamatwe.Wenzetu kwa kujua haya walishakataza kuvaa religious symbols e.g. Hijab, Rosari, Ninja, Cross, etc in public offices.
 
Hoja yako nimeipenda. Mwenye akili atakuelewa. Waache wajinga waendelee na ujinga wao. Maana ukitumia nguvu kubwa kuwatoa kwenye ujinga hatimaye wewe hutakuwa mjinga bali chizi. Basi wote tuvae Hijab!
 
Nakumbuka ule ujambazi uliowahi kutokea pale Ubungo NBC miaka kadhaa iliyopita mojawapo ya wale majambazi alikuwa amevaa vazi linalotumiwa na wakina mama wa Kiislamu kujisitiri mpaka usoni kumbe ndani alikuwa na SMG ameificha, sasa kwa mujibu wa wanazuoni hawa huyu naye hakustahili kuguswa.

Nalikumbuka tukio hilo nami pia. Vilevile kuna kijana alishakamatwa huko mwanza/shinyanga ndani ya basi akiwa katika harakati za kutoroka huku kavaa hijab baada ya kumwuua mwanafunzi mwenzake
 
Back
Top Bottom