Napendekeza mwamba huyu ajengewe mnara au sanamu

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
2,327
Reaction score
3,339
Wapendwa wa jukwaa letu pendwa la JF, where we dare to talk openly; kutokana na kilichotokea kisutu na viunga vya Dar es salaam tarehe 24/04/2025, ambapo najua wasomi na wafatiliaji wa mambo humu JF mnajua Sina haja ya kuelezea.
Ila hii video kupitia link hii itasaidia kuelewa.

View: https://youtu.be/5GELdt1CWRk?si=lSkzN72GxS43W9mK

Mimi mzalendo Bhikalamba, napendekeza mwamba huyu ambaye picha yake inafuata ajengewe sanamu kubwa au mnara wa kumbukumbu kama shujaa wa TAIFA, mpinga dhulma na uonevu na aliye tayari kujitoa muhanga kutetea haki.

Habari kuhusu mwamba huyu katika picha waweza kuifatilia Kwa kutazama video kupitia link hii 👇👇
View: https://youtu.be/fR06L6NU5PM?si=qGlk9q9C47A02ZdM

Nisiwachoshe twende kazi.
 
Attachments

  • Screenshot_20250427-130141_1.jpg
    Screenshot_20250427-130141_1.jpg
    129.3 KB · Views: 10
Wanasiasa wanatuchonganisha raia na mapolisi.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wapendwa wa jukwaa letu pendwa la JF, where we dare to talk openly; kutokana na kilichotokea kisutu na viunga vya Dar es salaam tarehe 24/04/2025, ambapo najua wasomi na wafatiliaji wa mambo humu JF mnajua Sina haja ya kuelezea.
Ila hii video kupitia link hii itasaidia kuelewa.

View: https://youtu.be/5GELdt1CWRk?si=lSkzN72GxS43W9mK

Mimi mzalendo Bhikalamba, napendekeza mwamba huyu ambaye picha yake inafuata ajengewe sanamu kubwa au mnara wa kumbukumbu kama shujaa wa TAIFA, mpinga dhulma na uonevu na aliye tayari kujitoa muhanga kutetea haki.

Habari kuhusu mwamba huyu katika picha waweza kuifatilia Kwa kutazama video kupitia link hii 👇👇 https://youtu.be/fR06L6NU5PM?si=qGlk9q9C47A02ZdM

Nisiwachoshe twende kazi.

huyu mwamba kaongelewa sana wiki hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom