Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki. Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu. Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya. Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi. Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange. Naomba kuwasilisha
aise usirudie kuniquote wewekwa hiyo wewe unaonaje Mange hatufai kutuongoza, ana uwezo, elimu, utashi,
Kumbu kumbu zinaonesha Mange ni CCM na amepanda majukwaa mengi kumnadi Rais Maghufuli. Sijui alihama lini?! Alichofanya ni kuchoma kadi kupinga u dictator wa jamaa yake aliyempigania.Mi namuona Mange ni bora zaidi kuliko Lisu
Hilo sio tatizo katiba inaruhusu mtu kuhama chama,najua ccm hawawezi kumpitisha ndio maana nimeshauri sisi ukawa tuitumie hii tunu ya taifaKumbu kumbu zinaonesha Mange ni CCM na amepanda majukwaa mengi kumnadi Rais Maghufuli. Sijui alihama lini?! Alichofanya ni kuchoma kadi kupinga u dictator wa jamaa yake aliyempigania.
Apiganie uhuru na usawa akiwa huko huko, kwani naye ana styles zake na CDM wanazo agenda zao. Kikubwa boss wenu ajitafakari. Mkono wa chuma haujawahi kufanikiwa popote.Hilo sio tatizo katiba inaruhusu mtu kuhama chama,najua ccm hawawezi kumpitisha ndio maana nimeshauri sisi ukawa tuitumie hii tunu ya taifa
Mashabiki?? Hivi kwa akili ya kibavicha bavicha unaamini kabisa kila aliye follower wake ni shabiki wake??Ana mashabiki wengi na atakuja na mtaji mkubwa, naunga mkono mange agombee chadema uraisi 2020