Napendekeza Mange Kimambi agombee urais mwaka 2020

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,684
8,591
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki.

Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu.

Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya.

Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi.

Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange.

Naomba kuwasilisha
 
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki. Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu. Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya. Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi. Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange. Naomba kuwasilisha

SAA YA KUCHANGANYIKIWA NI SASA !!!! AMKENI TUFANYE KAZI, LA SIVYO KUNA KILA DALILI ZA WATU WENGI KUSEMA PEKE YAO BARABARANI NA KUOKOTA MAKOPO MAJALALLANI !!
 
Kumbu kumbu zinaonesha Mange ni CCM na amepanda majukwaa mengi kumnadi Rais Maghufuli. Sijui alihama lini?! Alichofanya ni kuchoma kadi kupinga u dictator wa jamaa yake aliyempigania.
Hilo sio tatizo katiba inaruhusu mtu kuhama chama,najua ccm hawawezi kumpitisha ndio maana nimeshauri sisi ukawa tuitumie hii tunu ya taifa
 
Hilo sio tatizo katiba inaruhusu mtu kuhama chama,najua ccm hawawezi kumpitisha ndio maana nimeshauri sisi ukawa tuitumie hii tunu ya taifa
Apiganie uhuru na usawa akiwa huko huko, kwani naye ana styles zake na CDM wanazo agenda zao. Kikubwa boss wenu ajitafakari. Mkono wa chuma haujawahi kufanikiwa popote.
 
Si lazima kila mchezaji afunge goli,team work.Kila Mtanzania ana haki na wajibu juu ya umoja wa taifa letu.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom