Napendekeza Mange Kimambi agombee urais mwaka 2020


Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
2,528
Likes
1,531
Points
280

Maharo

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2016
2,528 1,531 280
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki.

Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu.

Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya.

Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi.

Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange.

Naomba kuwasilisha
zero brain tu ndio wanamkubali...MJICHEKI
 

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Messages
1,217
Likes
1,022
Points
280
Age
38

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2017
1,217 1,022 280
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa
Influence ya Umbeya. Sawa. Mchagueni aje. Sijui hata kama ataweza kuongoza hata kwa wiki. Mana Moral And ethical authority yake ni negative. Nyuchi alizotuwekea na matusi ndo iwe nembo ya TZ. Kweli CDM jitafakarini.
 
Joined
Feb 27, 2018
Messages
44
Likes
110
Points
40
Joined Feb 27, 2018
44 110 40
Akiwa raia namba 1, si atakuwa na washauri wa mambo mbali mbali kwa hiyo atabadilika tu ondoa shaka
Hayo ya "akiwa..atabadilika" ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.

Ndiyo yaliyotufanya kumchagua Magufuli kwa kuwa tuliamini atabadilika (soma utabiri wa paschal mayala).


Kwa bahati mbaya zaidi, ndiyo wanachotaka kutuaminisha CHADEMA (hii mada ya wakati mwingine).

Tunataka tuone morality yako ya sasa ndipo tujue uwezo wako wa kutongoza.
 

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
3,105
Likes
3,674
Points
280

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
3,105 3,674 280
Akiwa raisi waTz tutalazimishwa kuwa na account za INSTAGRAM taifa zima.

Wasiojulikana watammaliza kwenye kampeni.
 

Pendael24

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Messages
2,063
Likes
892
Points
280

Pendael24

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2014
2,063 892 280
Hili wazo siyo la watanzania ni la nyumbu mmoja na wenzake wanafuata tu hii ni tabia ya hao wanyama mmoja akiingia mtoni woote wanafuata hata kama kavutwa na mamba.
Yaani ni shida saana mkuu, ila tutachelewa sana kufika kama fikra hizi ndio zipo kwa wingi miongoni mwetu.
 

Forum statistics

Threads 1,204,947
Members 457,640
Posts 28,177,638