Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,687
- 8,600
Habari za Jumapili wanajamvi.
Huyu mama Mange Kimambi ni jasiri, anakubalika na rika zote, anatetea wanyonge, ni mvumilivu, mpole na mpenda haki.
Amefichua maouvu mengi sana hapa nchini. Na kila mtu ana imani kubwa kuwa Mange ni mkombozi wetu.
Kwa kipindi kifupi ameweza kuiteka nchi nzima hadi tumemsahau kamanda wetu Lisu kule Ulaya.
Nikiwa mwana ukawa kindakindaki naomba sana viongozi wangu tumkabidhi kijiti Mange ili aokoe hichi kizazi.
Ikiwa atapitishwa na ukawa hakuna mtu wa CCm wa kumshinda Mange.
Naomba kuwasilisha