Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
- Thread starter
- #21
Nimekudharau.
Biblia inasema Yesu alilisha watu elfu tano masikini wenye njaa, siku hizi watu masikini elfu tano wanamtajirisha mtu mmoja mjanja akitumia neno la mungu.
Nimekudharau.
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.
Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu, WONGO MTUPUUUU)
- wanaishi maisha ya anasa sana wao na familia zao wakati waumini wao au (kondoo) wanabaki kua maskini wa kutupwa.
- kondoo akihoji tu, juu ya matumizi ya sadaka anafukuzwa kanisani.
Kama ivyokua kwenye mswaada wa vyama vya SIASA, tunahitaji haraka sana mswaada wa DINI.
TUSIJIDANGANYE kua serikali ikae mbali na haya makanisa watu wanaumizwa sana sana sana.
Dar-es-Salaam hii tuna makanisa mengi kuliko shule, hospitals, na huduma za maji kwa pamoja.
Watu wa type yenu ndiyo mnaoanzishaga migogoro makanisani.wewe kama siyo KkKT utakuwa Anglicana au Moroviani.maana huko.ndiko kwenye fujo za type hiyo
Kama wewe unatoa sadaka harafu unafuatilia na matumizi yake basi hiyo uliyotoa usiite sadaka iite ni mchango.so una hiari ya kutoa
By the way nilikuja kugundua nyie mnaofuatilia hivyo wala.siyo watoaji.ukitoa saana unatoa jero au buku.watoaji wenyewe wameshajua siri iliyoko katika kutoa sadaka hata wakisikia unataka kuwapa mchanganuo wa matumizi wanakimbia hawataki kabisa kusikiliza.
Ndugu yangu makanisa kama RC, KKKT na mengine kama haya yana afadhali, haya ni established institutions yanaeleweka kwa kutumia rasilimali zake kwa huduma za jamii. Mimi nazungumzia haya makanisa yanayofunguliwa kila siku kukicha ya MANABII na MITUME nani anawaregulate hawa mitume na manabii kwenye matumizi ya mali za kanisa? Makanisa kwao ni mali zao binafsi, wewe unatakiwa utoe fungu la kumi tuu, bila kuuliza inatumikaje? KWA SABABU KANISA NI MALI YA MTU BINAFSI, Unawezaje kutenganisha mali za kanisa na za NABII au MTUME?? Hapo ndipo serikali inatakiwa kuingilia kati,
Wazo zuri kabisa wameishi siku zote kwa kudekezwa mno mmoja huko kaguswa kanga'ka utafikiri barabara anayotembelea na gari yake ilijitengeneza yenyeweNdugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.