GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 545
Kwa akili tu ya kawaida utawezana na kihamisha milima ya morogoro na miamba yake.Lete facts na sio personal attacks

Lete facts na sio personal attacks.Hizo ndizo side effects za gono, ishakupanda kichwani
Kabla ya kufanyika projects kama hizi wataalamu wanaanza kufanya upembuzi yakinifu kujua sehemu korofi kama ulivyoainisha na uja na solutions ni kweli sio jambo la jepesi lakini ugumu wake hauwezi kututisha kutojaribu maana tungekuwa tunaona kila jambo ni gumu basi tusingekuwa na barabara ya kwenda Iringa sababu ya mlima kitonga.Kwa akili tu ya kawaida utawezana na kihamisha milima ya morogoro na miamba yake.
Komaa hadi upate ukimwiLete facts na sio personal attacks.
Umepiga cha wapi jamaa yangu? Mirembe inakuitaKwa vile tulichagua wenyewe Dodoma kuwa makao makuu ya nchi basi ni vyema kuhakikisha huduma za kimsingi kama bandari zinahamia Mji mkuu ili kuwapa access wananchi wote Watanzania kuwa karibu na huduma hizo na kwa wakati huohuo itasaidia kupunguza population ya watu na malori kwenye mji wa Dar es salaam. Pia itakuwa tumewasogezea huduma za kibandari nchi zinazotegemea bandari ya Dar es salaam.
Inawezekana vipi? Twende taratibu na uhakika wote mtanielewa na kusupport hichi nacho kiandika jaribu kuangalia ukubwa wa Bandari ya Dar kuanzia pale posta kwenye boti za kuendea Zanzibar mpaka kurasini ni wazi lile eneo linaweza kupatikana Dodoma na likawa kubwa zaidi ya mara tano in terms la eneo la maji yaani base, miundombinu majengo pamoja na eneo kubwa la kuhifadhia shehena (container)
Linachimbwa eneo ili kuendana na kina cha bahari kitu kizuri ule udongo wausafirishe mpaka eneo la Jangwani kuwaondolea hadha ya mafuriko wakazi wa eneo hilo.
Sasa maji ya bahari pamoja na meli zitafikaje Dodoma kwenye hii dunia hakuna kinachoshindikana panapokuwa na nia ya kweli, nani leo angeweza kuamini ubunifu wa ndege inayobeba tani nyingi kupaa angani wakati wewe na kilo zako 60 unashindwa kuruka kama mmasai.
Jaribu kufuatilia ujenzi wa Suez canal na panama canal basi ni wazi tukiwa na nia na kuamua kuitekeleza basi the end of 2024 bahari inakuwa ishafika Dodoma na utendaji kazi unaanza rasmi.
Pata picha Dodoma itavyopendeza na kuwa na tija kiuchumi endapo bahari itakapokuwa ndani ya Dodoma.
Unapoamua kutumia bangi hakikisha pia na uhakika wa kupata chakula.Kwa vile tulichagua wenyewe Dodoma kuwa makao makuu ya nchi basi ni vyema kuhakikisha huduma za kimsingi kama bandari zinahamia Mji mkuu ili kuwapa access wananchi wote Watanzania kuwa karibu na huduma hizo na kwa wakati huohuo itasaidia kupunguza population ya watu na malori kwenye mji wa Dar es salaam. Pia itakuwa tumewasogezea huduma za kibandari nchi zinazotegemea bandari ya Dar es salaam.
Inawezekana vipi? Twende taratibu na uhakika wote mtanielewa na kusupport hichi nacho kiandika jaribu kuangalia ukubwa wa Bandari ya Dar kuanzia pale posta kwenye boti za kuendea Zanzibar mpaka kurasini ni wazi lile eneo linaweza kupatikana Dodoma na likawa kubwa zaidi ya mara tano in terms la eneo la maji yaani base, miundombinu majengo pamoja na eneo kubwa la kuhifadhia shehena (container)
Linachimbwa eneo ili kuendana na kina cha bahari kitu kizuri ule udongo wausafirishe mpaka eneo la Jangwani kuwaondolea hadha ya mafuriko wakazi wa eneo hilo.
Sasa maji ya bahari pamoja na meli zitafikaje Dodoma kwenye hii dunia hakuna kinachoshindikana panapokuwa na nia ya kweli, nani leo angeweza kuamini ubunifu wa ndege inayobeba tani nyingi kupaa angani wakati wewe na kilo zako 60 unashindwa kuruka kama mmasai.
Jaribu kufuatilia ujenzi wa Suez canal na panama canal basi ni wazi tukiwa na nia na kuamua kuitekeleza basi the end of 2024 bahari inakuwa ishafika Dodoma na utendaji kazi unaanza rasmi.
Pata picha Dodoma itavyopendeza na kuwa na tija kiuchumi endapo bahari itakapokuwa ndani ya Dodoma.
Dodoma ihamie bagamoyooo??Kwa vile tulichagua wenyewe Dodoma kuwa makao makuu ya nchi basi ni vyema kuhakikisha huduma za kimsingi kama bandari zinahamia Mji mkuu ili kuwapa access wananchi wote Watanzania kuwa karibu na huduma hizo na kwa wakati huohuo itasaidia kupunguza population ya watu na malori kwenye mji wa Dar es salaam. Pia itakuwa tumewasogezea huduma za kibandari nchi zinazotegemea bandari ya Dar es salaam.
Inawezekana vipi? Twende taratibu na uhakika wote mtanielewa na kusupport hichi nacho kiandika jaribu kuangalia ukubwa wa Bandari ya Dar kuanzia pale posta kwenye boti za kuendea Zanzibar mpaka kurasini ni wazi lile eneo linaweza kupatikana Dodoma na likawa kubwa zaidi ya mara tano in terms la eneo la maji yaani base, miundombinu majengo pamoja na eneo kubwa la kuhifadhia shehena (container)
Linachimbwa eneo ili kuendana na kina cha bahari kitu kizuri ule udongo wausafirishe mpaka eneo la Jangwani kuwaondolea hadha ya mafuriko wakazi wa eneo hilo.
Sasa maji ya bahari pamoja na meli zitafikaje Dodoma kwenye hii dunia hakuna kinachoshindikana panapokuwa na nia ya kweli, nani leo angeweza kuamini ubunifu wa ndege inayobeba tani nyingi kupaa angani wakati wewe na kilo zako 60 unashindwa kuruka kama mmasai.
Jaribu kufuatilia ujenzi wa Suez canal na panama canal basi ni wazi tukiwa na nia na kuamua kuitekeleza basi the end of 2024 bahari inakuwa ishafika Dodoma na utendaji kazi unaanza rasmi.
Pata picha Dodoma itavyopendeza na kuwa na tija kiuchumi endapo bahari itakapokuwa ndani ya Dodoma.
Nimekupa mfano tu mdogo huo. Utawezana kuhamisha milima na miamba ya moro yote kabla hata hujaingia dom na huo udongo na makazi ya watu na miundo mbinu yote utaipeleka wapi.? Mambo mwngine unaweza onekana kichaa bure.. kuhamisha kina cha bahari tena chenye kutoka mikoa dar, pwani, morogoro na dom. Itoshe tu kusema ww ni kichaa. Tuna bandari ya Tanga inahitaji kupanuliwa kina chake na kurefushwa zaidi kwa kuwezesha mambo yawe haraka ww unatupa japo litakalo kula bajeti ya nchi kwa zaidi ya miaka 20 au 30 mbele. Kwa akili zako tu hizo CCM acha tu watutawale kwa kweli. Dar ina vichaka huko mvuti na kwingine ukija pwani ndio kabsa ina mapori mengi/maeneo ya wazi mengi kwann kusiwe na bandari za nchi kavu hapo pwani na dar za kutosha huku bandari za Tanga na Mtwara na Bagamoyo nk zikapanuliwa na kuwa na uwezo sawia na ya dar es salaamKabla ya kufanyika projects kama hizi wataalamu wanaanza kufanya upembuzi yakinifu kujua sehemu korofi kama ulivyoainisha na uja na solutions ni kweli sio jambo la jepesi lakini ugumu wake hauwezi kututisha kutojaribu maana tungekuwa tunaona kila jambo ni gumu basi tusingekuwa na barabara ya kwenda Iringa sababu ya mlima kitonga.
Kwani haiwezekaniHapana...
Wakazi ambao mradi utapita watalipwa fidia.Nimekupa mfano tu mdogo huo. Utawezana kuhamisha milima na miamba ya moro yote kabla hata hujaingia dom na huo udongo na makazi ya watu na miundo mbinu yote utaipeleka wapi.? Mambo mwngine unaweza onekana kichaa bure.. kuhamisha kina cha bahari tena chenye kutoka mikoa dar, pwani, morogoro na dom. Itoshe tu kusema ww ni kichaa. Tuna bandari ya Tanga inahitaji kupanuliwa kina chake na kurefushwa zaidi kwa kuwezesha mambo yawe haraka ww unatupa japo litakalo kula bajeti ya nchi kwa zaidi ya miaka 20 au 30 mbele. Kwa akili zako tu hizo CCM acha tu watutawale kwa kweli. Dar ina vichaka huko mvuti na kwingine ukija pwani ndio kabsa ina mapori mengi/maeneo ya wazi mengi kwann kusiwe na bandari za nchi kavu hapo pwani na dar za kutosha huku bandari za Tanga na Mtwara na Bagamoyo nk zikapanuliwa na kuwa na uwezo sawia na ya dar es salaam