Anyways... iko hivi...
Kama unataka kujifunza programming lazima uwe na GOAL, je unataka kufanya nini?? kutegeneza website au kutengeneza application kama za android au iphone...
Kama unataka kutengeneza websites then anza kwa kujinza HTML, CSS na javascript then unaweza endelea na php incase unataka kuwa back end web developer! all in all kama unataka kuwa web developer then anza na HTML then CSS alafu JS!!
Kama unataka kuwa software developer...
Unaweza chagua unataka ku develop applications za android, iphone au windows phone! au unataka ku develop applications za desktop...
Kwenye software development unaweza anza kusoma python alafu ukaenda java au ukaanza java one way!!
Pitia hizi vido mbili zitakusaidia zaidi...
Kila la heri...