Napenda wanawake wenye vitambi

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kila la kheri mkuu.
 
Kama nakuona vileee!
Ikibuma najua wewe upo bwana!! Nimekumbuka kazi yangu ya kipindi kileeeee sasa itakugeukia!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijataka kukwambia tu ujue nilimpigia
 
Bro upo kama mimi ase, kuna wakati huwa nikiwaona nashindwa kabisa kuficha hisia zangu
 
Hahaha
Halafu ikawaje?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikamuuliza mbona hivi jamani tumekukosea nini eeenh nikaanza kufokewa ooh mm sipendi hata kam ungekuwa ww mtu mnachat ghafla kapotea ukimtext hajibu tena na text zimefika jamani tusamehe tu ni umeme sawa nimeelewa ngoja nimtafute
 
Hahaha
Kumbe ndo maana jamanii!! Mmmh Sakayo nimepatwa mimi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…