Napenda Wanawake wembamba

Sure, Kuna mdada kibonge huko atakosa confidence, hata mwanaume akimfuata atamkataa maana atahisi anadhihakiwa!
It shouldn't be that way. Anatakiwa ajiamini jinsi alivyo. Wanaume wapo wa kumwaga, kila mtu lazima apate wake
 
katika story story, shemeji yangu huwa anatamba kwamba anapenda wasichana wenye nyamanyama, ila mdogo ake ambae ni mke wangu ni mwembamba. sasa najiulizaga hivi shemeji wanaume wote tungekua na taste kama yako, mdogo ako angepata mchumba kweli? yani ananifanya nionekane kama msamalia mwema
 
kumbe tuko wengi tunaofarijiana eeeh!!
 
aaaaa kaka madem wembamba mmh jau bhana ww ka dem unakua nako mkitembea unaonwkana una kazulumu chakula..unakuta kana kikono chembamba ka mwiko. ani unakuta kigimbi na tako vinauwiano aa weee wemabamba wengine sioo
 
Kumbe kaka unapenda vibonge ee..utakuwa mwembamba weweπŸ˜…πŸ˜…
Naona unafukua makaburi mkuu πŸ˜… πŸ˜…
Kumbe hujui kama Mimi mwembamba au mnene? Basis usibanduke kule selfika nashusha Mzigo uone umbo language halisi
 
Naona unafukua makaburi mkuu πŸ˜… πŸ˜…
Kumbe hujui kama Mimi mwembamba au mnene? Basis usibanduke kule selfika nashusha Mzigo uone umbo language halisi
Kaka unapitwa kwenye lile jukwaaa..nimeachia kitu..

Siunajua mimi siahidiwagi ahadi hewa ee..sasa usipoweka kaka nakupiga chini
 
Kaka unapitwa kwenye lile jukwaaa..nimeachia kitu..

Siunajua mimi siahidiwagi ahadi hewa ee..sasa usipoweka kaka nakupiga chini
Nimeshatia maguu na tayari nimeonyesha upendo
We usithubutu kumpiga chini kaka yako no vibaya ujue, utapata laana buree
 
Nimeshatia maguu na tayari nimeonyesha upendo
We usithubutu kumpiga chini kaka yako no vibaya ujue, utapata laana buree
Basi sikupigi chini kaka nimeghairi..😊😊
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…