ππUnaikumbuka hiyo avatar? Irudishe pulizi [emoji16][emoji16][emoji1545]
Mwanaume mwenye kitambi ni majanga.ni sawa kuwa na choice . mimi pia napenda wanaume wembamba. yani nikiona mwanaume ana kitambi hamu inaisha.
Nyie in was kwetu sisiKina tabu mtingita tutakoma[emoji2296]
Hata jimama unaweza kukimbia nalo cha muhimu tu afya yako isiwe mgogoro [emoji16][emoji16][emoji16]Huwa napenda wanawake wembamba, hata ukiingia nae club, bar guest/lodge then ukazuka moto unamweka begani na kukimbia zako [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Iiih jamaniNyie in was kwetu sisi
Hapo hukimbii hata mita 25 [emoji38][emoji38][emoji38]ni sawa na kuwa umebeba Dumu la lita 40 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Hata jimama unaweza kukimbia nalo cha muhimu tu afya yako isiwe mgogoro [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1481994
Lol, thubutuuuuu! πππKina tabu mtingita tutakoma[emoji2296]
ππππNenda buza...wanavaa madela.bas kama kavaa shuka..anaelea kwenye dela
πππππNapenda sample hii, mtoto mwembamba ila shape inaonekana, kiuno chembamba ukimbambia mikono unaizungusha, sio uno kubwaaa mikono haikutani[emoji17]View attachment 1481419
πππHapo[emoji871]View attachment 1481426
ππWewe ni kipipa, a.k.a kimtungi.
Ila nakupenda hivyohivyoπ€£ππ
sasa kama ni kipipa usielezwe ukweli..au wataka akudanganyeππBby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani mimi ni kipipa kweliiiii???
ππHuu Uzi wa kawaida tu, lakini kuna wanawake utawatesa sana kisaikolojia
hapa hapana aisee BIG NO[emoji3059][emoji3059][emoji3059] View attachment 1481823