Vimtungi hii mada haiwahusu.ππKina tabu mtingita tutakoma
Na kweliVimtungi hii mada haiwahusu.
πππ.BbyYaani mimi ni kipipa kweliiiii???
.
Ukivaaga na lile gauni lako jekundu unapendezaga sana unakuwa kama kimtungi cha orxy
Ila mm nakupenda hivyo hivyo.
Kwamba una mademu!Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.
Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.
Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.
Weweeeee....Kina tabu mtingita tutakoma
MayoooWeweeeee....
Hamtakoma wala nini. Mnapendwa sana tena mno kabisa kabisa gete gete
Sasa huo si ni mzimu wa bongo muvi SasaππNenda buza...wanavaa madela.bas kama kavaa shuka..anaelea kwenye dela
ππMinyama yangu niachie sini kimtungi hiki
Hii comment imenivunja mbavu !!ππππHuu Uzi wa kawaida tu, lakini kuna wanawake utawatesa sana kisaikolojia