Napenda Wanawake wembamba

Napenda Wanawake wembamba

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,632
Reaction score
5,023
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.

Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.

Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.
 
Napenda sample hii, mtoto mwembamba ila shape inaonekana, kiuno chembamba ukimbambia mikono unaizungusha, sio uno kubwaaa mikono haikutani
Screenshot_20200617-151653_1592396238402.jpg
 
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.

Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.

Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.
Akiwa mwembamba wa hivi poa. Ila kama ni ule wembamba wa mifupa mitupu hapana kwa kweli

20200615_142023.jpg
 
Jamani hamuogopi kushitakiwa au mna hati miliki za picha hizo mnazo post
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom