Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
Umarioo unakusumbua. Utajuaje alivikosa akiwa kijana!!! Acha usifiwe siyo kujisifiaBinafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje🙂
Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale...at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.
Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.
The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimisi...because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.
I love these matured ladies!!!
[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
Na hilo neno marioo au ben 10 nimekumbana nalo sana kila ninaemsimulia upande wangu wa mahusiano...mimi moyoni huwa naona halinihusu, ni mtu tu kaamua kuniita hivyo.Umarioo unakusumbua. Utajuaje alivikosa akiwa kijana!!! Acha usifiwe siyo kujisifia
Mkuu, mimi kwetu ni wa kwanza/first born, pia najitegemea...yaani nina elimu yangu na kazi yangu etc. Utasemaje napenda simple life na kubebwa bebwa?? unaposema kwa mwaumne kushirika zinaa...(mimi naitwa mahusinao) na aliyekuzidi umri ni ufirauni, nadhani hizo ni fikra za kimira, za kale na za kiafrica.He he he
Watoto wa mwisho kuzaliwa(vitinda mimba) mna matatizo sana, full kupenda kubebishwa bebishwa na simple life.
Kwa mwanaume kushiriki zinaa na mtu aliyekuzidi umri ni sawa na kuwa na urafiki na shetani la ziwani wanaliita chunusi.
Yaani unanyonywa damu dogo.
Ok, anaweza kuwa hakuvikosa, lakini mimi nam-take back to memories...namkumbushia....huwa inanoga sana na wengi hupenda!! Kuna diplomat alisafiri kutoka (mji siutaji maana yuko humu), ananizidi 10 years japo kimownekano bado sio mzee....it was a greatest night for us!!Umarioo unakusumbua. Utajuaje alivikosa akiwa kijana!!! Acha usifiwe siyo kujisifia
Mkuu sio hivyo, mimi Dar mhamiaji tu. Tatizo kuna nyie hampendi watu tueleze hisia zetu na tunayoyapenda...yaani mna culture hivi wooote mnataka tuifate. NooooVijana wa Daresalaamu wameshaamka.
No way. I spoke what I like best when it comes to relationship. Vipi ningeongelea siasa au ujasiriamali...ungeipa hashtag gani??[HASHTAG]#harufuYaPromo[/HASHTAG]
KUMBE TUKO WENGI NLIJUA NI MM MWENYEWE!! wanawake watu wazima RAHA SANABinafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje🙂
Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale...at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.
Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.
The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimisi...because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.
I love these matured ladies!!!
[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
No way. I spoke what I like best when it comes to relationship. Vipi ningeongelea siasa au ujasiriamali...ungeipa hashtag gani??
Watu hawajui tu. Tatizo hakuna aliyewahi kusema na ukisema unaitwa marioo etc, so inabidi kuwa siri kati ya wanawake hao na wanaume wao wa umri mdogo. kimya kimyaKUMBE TUKO WENGI NLIJUA NI MM MWENYEWE!! wanawake watu wazima RAHA SANA
Haha ok.hahhha !ningesema unatafta kiki
Sure. Thanks mkuuFollow what you desire
Kila mmoja ana intrest zake na hatuwezi kufananaSure. Thanks mkuu
Mapenzi raha take u date age mate wako, haya mambo ya kukaa na watu wazima Waikato wewe unawaza mwimbo Moyà wa Diamond meenzako anawaza mirathi ya mume wake