Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,160
USA Baby na waarabu naona kismati kimewadondokea
Ustaadh baby...
USA Baby na waarabu naona kismati kimewadondokea
Nipeleke kwa ustadhi swalehe nipate kismati cha kudondokewa na USA babyUstaadh baby...
Nipeleke kwa ustadhi swalehe nipate kismati cha kudondokewa na USA baby
Ustadh swalehe una undugu na ustadh juma? lol
Afadhali umenitahadharisha, bado kidogo nichanganye madesaNaah...huyo simjui.
Labda anasafiria nyota yangu tu.
Lakini hatuna hata undugu wa mbali.
jamani ustadh, kweli nisivae p.chu kuna dawa unataka kunisokomezea?Sawa, lakini fuata masharti yafuatayo.
1] Njoo umevaa deraa
2] Usije umevaa pichu
3] Sidiria rukhsa
4] Uje umesuka mabutu
5] Uwe unanukia udi
6] Uvae na sun gogos
jamani ustadh, kweli nisivae p.chu kuna dawa unataka kunisokomezea?
ila naskia staili ya kuweka dawa ni matata sana, usalama utakuwepo kweli ustadh?Yeah...tende na halua ili kuongeza utamu😛
Mbona umekaa kimya?????Napenda wanaume wa kiarabu, wa kipemba, na wa pwani mombasa haswaaa
maana wanajua mahaba navyoskia
hata wazunguuuu
mm nawapendea waarab yale mambo yao tyuuuuu
Napenda hata wanaume weuc tiiiii handsome ila awe wa pwaniiii
Unguja, pemba, mombasa, uarabuni haswaa dubai, tanga
Nawapenda mnoooooo
Yale mambo yetuuuu ya kwenye mahaba ni wajuz sana
Mm nyang'anyang'a haswaa akiwa handsome halaf akiwa na mwili wa mazoezi, msafi mstaarab yaan ni utamu kunoga
ila naskia staili ya kuweka dawa ni matata sana, usalama utakuwepo kweli ustadh?
bro Leo hii wanikana ndugu yako!! umesahau au makusudi...yani kisa demu tu wanikana kama mkono wakushoto!Naah...huyo simjui.
Labda anasafiria nyota yangu tu.
Lakini hatuna hata undugu wa mbali.
Ila kuna shoga msukuma, ameannzia ushoga Musoma, Sijui kama unahabari hiyo mkuu.Afadhali sisi wabara, daima mbele nyuma mwiko .Wewe unapenda kurudi nyuma? Tanzania ya viwanda itaendelea kuwa historia.