Napenda sana upweke

Napenda sana upweke

Ni sawa na useme unapenda NJAA! Sema unapenda kuwa mwenyewe, ni tofauti na upweke. Upweke ni kukosa company huku unaitamani.
Nafikiria kununua ndege sema nina hela No No No malaika ana dhambi No No No
Yes
Yes
Yes
Miss Natafuta nimegonga
No No No no no no
Nampenda
YES yes yes
 
Nimemaliza kumuita fundi aje aniwekee mpango wa tatu wa kutoka/kuingia ndani maana hii miwili huwa nashindwa kuwatoroka wageni wanaokuja kumtembelea wife( ndiye mwenye wageni mimi ni kama sina), kupokea na kupiga simu kwangu huwa ni kazi nzito, msg huwa naweza kidogo kujibu kwa "muda ninaojisikia" kwangu panaitwa kwa Mama *** maana mimi sifahamiki kabisa japo muda mwingi nipo nyumbani....acha Mungu aitwe Mungu maana viumbe wake wengine sijuhi tupoje?
 
Kati ya vitu vilivyonishinda maishan mwangu ni
1.Kuwa na rafiki ambae sina issue nae kama vile biashara, kaz n.k
2.Kutaja jina langu full
3.Kutaja kwetu nlikotokea
4.Kutaja kazi nnayoifanya
5.Kupiga smu kwa mtu ili kumsalimia yaan siwez n lazma kuwe na issue tunaizungumzia
6.Kuanzisha story itakayonihitaji mm nitoe taarifa zangu kama vile jina,dini,chimbuko langu,n.k
7.Staki mtu ajue mahali nnapoishi
8.Mtu akija hom kwangu najiskia sna amani yaan kama nimebanwa vile
9.Kupiga story za umbea no no No....ukinpigia smu ili ulete umbea ntakuskiizaaaa afu tunaagana
10.Maishani mwangu sjawahi kuwa na rafiki wa kudumu yan kama tunafanya kazi/biashara bas tutakua marafiki kwa mda huo baada ya hapo kila mtu afate yake mm siez pga smu wala sms (japo mara moja moja twaweza kuwasiliana)
11.Sna mazoea na ndugu zangu hata kdogo yaan nna urafiki na dadangu na kaka angu bhaaaasi.
12.Mambo mengi napenda kuyafanya kwa siri ktu knachofanya watu kuhsi mm sio mtu wa kawaida.
13.Nkiwa na tatzo spend mtu yyte ajue
14.Ninabadilika badilika sana yaan hata tukikubaliana jambo fulani bado huwa siridhiki,naendelea kulifikiria je hili jambo/biashara lina maslahi ???
15.mda mwingne ukinkuta naongea saanaaa lakn ukinikuta npo cool mkimyaaaa mpaka sio poa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kila ulichoongea hapo mkuu..hujakosea hata kidogo kwa kuongezea hapo mimi huwa siogopi kufa kabisa yaan ata nkiskia mcba nachkulia poa tuu. Najitahid sana niache hii hali lkn nashndwa
 
Ni sawa na useme unapenda NJAA! Sema unapenda kuwa mwenyewe, ni tofauti na upweke. Upweke ni kukosa company huku unaitamani.
Was abt to tell him he likes solitude not loneliness
 
Sipendi iyo hali na ninayo sasa nimeiishi mno ila nikinywa gambe aa naenjoy vizur nawatu, imenipelekea sina marafiki wengi yani marafiki wa rika langu ni wale tu niliosoma nao msingi hadi chuo baasi kihome home nina marafiki ila sio warika langu ni watu wakubwa au watoto zaidi age1-15 mpak naitwa mr children,
 
inshort una maisha magumu mkuu,lakini pia si salama Sana kwa maisha yako kibaya zaidi hata watoto,unataka kuwalea sawasawa na life style yako,sikushauri nao uwalee hivyo.fikilia Kama watoto wako wote nao wata copy life style yako,hiyo nyumba itakuwaje,nadhani mtakuwa mnaishi kwa kuviziana,na kukimbiana.kwa ww okay kwa kuwa imekuwa hivyo kwa muda mrefu since ukiwa mdogo,na tukisema u uchange pia ni ngumu kiasi.lakini kwa hao watoto ,don't tie ua kids to ur life style,ww mwenyewe nadhani unajishtukia sometimes the way you live ,ni Kama mtu ulieingia ndan ya nchi kinyume na sheria ,huna viza Wala passport mtu wa kujifichaficha.
 
Nikipanda staff bus to job, nikiingia naenda kukaa siti ya peke yangu, au nakaa nHia mtu mbae najua hawezi niongelesha.

Tukifika kituon ambacho anapanda mtu naihisi kuna mazoea atakuja kunifata na kunipa story zake, bas najifanya nmesinzia.

Kantini job nachukua msosi mwisho, ili nkakae meza ya peke yangu. Maana nikitangulia kukaa mtu anaenijua akiniona anakuna tukae wote. Me simaindishi.

Mara nyingi kifurush najiunga cha wiki ili nipate mb. Sasa zile dakika 150 ckumbuki km nmewah zitumia zaid ya dak 50. Nazo hizi dak 50 labda nmpigie maza.. most of the time zinaexpire.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wew jamaa ni Mimi kabsa hapo kwenye kifurushi Cha wiki.Mimi nawapigiaga wafanyabiashara wezangu tu basi,zaidi ya hapo mwendo was my tu,yaanu cm yangu ina dakika nyingi Sana mpaka watu wanashangaa
 
In short wewe Ni mchoyo na mbinafsi!! Zipo tabia ambazo hata ukiwa nazo inakua c tatzo sana kama tukokuongea sana sina shda na hlo, mambo yako meng kua secure hlo Galina shda lakn hili la kutokutaka hata marafk zako wafaham kwako?? Hlo Ni mbaya zaid
Village fool umenena vizuri sana. I like your comment.
 
Mshurutishe mkeo atumie uzazi wa mpango otherwise utamzalisha kila baada ya miezi 7. Watu wa kujifungia tu ndani mda wote mnakuwaga juu ya vifua vya wake zenu maana ndo starehe pekee mliyobaki nayo
 
Hata usijione kuwa wewe ni pekee 50% ya watu duniani wapo hivyo
 
Back
Top Bottom