Napenda sana upweke

Huu ni upupu!! Huwezi penda ukimya then ukaoa labda una matatizo ya akili. Naturally waliozaliwa hivyo au kupenda hivyo hawawezi oa kamwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemwambia wazi huyu ana shida ya akili. Watu wanaopenda upweke hawawezi oa maisha yao yote. Kwa uchoyo nakubali ndo shida yake.
In short wewe Ni mchoyo na mbinafsi!! Zipo tabia ambazo hata ukiwa nazo inakua c tatzo sana kama tukokuongea sana sina shda na hlo, mambo yako meng kua secure hlo Galina shda lakn hili la kutokutaka hata marafk zako wafaham kwako?? Hlo Ni mbaya zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una shida ya saikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hupemdi watu bar unakunywa na kupiga stori na nani?
 
huu ni ukweli asee mana mda mwngne najishtukia yan hakuna mtu anaejua hata jna langu na nikiulizwa namtajia nickname ( a.k.a) yaan unakuta kila mtu anakujua kwa jna lake. huyu anakujua kwa jna la luckboy yule anakujua kwa jna la king yule anakujua kwa jna la "bwax"
yan n tafran mpaka unaonekana kama mtu flan tapeli hv yan. afu unakosa fursa nyng kwa sabab unaficha hata elim yako mtyu akikuuliza unamwambia umeishia darasa la nne kumbe una elim ya kutosha. sasa hata kama kuna fursa sehem hawez kukustua mana anajua ww ni std IV kumbe ulimficha lakn unafit kwny ile kazi.

at least sku hz nmebadilika nmeanza kutaja jna langu la kweli.
 
huyu n mm kabisa japo sku hz najikuta nabadlika. naanza kutaja jna langu halis, na nmekuwa muongeaji sana. anyway sometyme life gotta force u to change. sometime am cool and moodless especially when am financially broke. sometyme am funny and u cant belev kama ndo mm, hvooo yaaan
 
Ni kama umeyaelezea maisha yangu kwa asilimia kubwa, ila mimi nimeenda mbali zaidi, sina hata mawasiliano na ndugu hasa baada ya kugundua wao ndio wanachangia nisiishi maisha ya furaha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…