Napenda sana upweke

utapataje ubunge na hupendi socialization? Angalia usije hisiwa ni mchawi au ni mwizi ukakosa wa kukutetea sikumoja maana hujulikani unaishi kama mwizi mwizi tu, at least uwe na marafiki wachache na ujulikane vyema kwa majirani zako kwamba wewe ni nani na umetoka wapi. Hv kweli hata jina lako hawakujui ndugu yangu sasa unaishije aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huu uzi 90% ni mm kabsa, yan ukniona unaweza sema sio mm nnavyokoment humu ndan na real life nlivyompole. Kuna advertise nlimuonesha dem flan hakuamin, ye alikuwa mshkaj tu so siku hyo aliamua kuja geto kuntembelea... Alivyofika akagonga mlango me npo ndan nauliza nan kunijibu nkamwambia we nisubiri huko huko nakuja. Aisee hakuamin! Mpaka leo tukikutana ananiambia "yan ww sio mtu wa kawaida kabsa" me nacheka tu [emoji23][emoji23]

Sometimes soft is strong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahh [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf kila mtu introvert [emoji848]
Hapo hapo mnatuambia mimi hivi mimi vile wakati maisha yenu ya siri
Sio hvyo unavyofikiria princess ariana ila mtu mwenye hiyo hali akiuona huu uzi lazma apite nao sababu unamuhusu. Alafu factor ya kuja kusemea humu ni kwamba hatufahamiani ID zetu fake so mtu anakuwa free kutiririka tani yake. Si ajabu tunafahamina mm na ww sema ID zetu ndo znatuficha tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiii mbona wengi nawafahamu 😂.. Introvert umebebwa na ubinafsi, binadamu ili uenjoy unatakiwa uwe introvert 50% extrovert 50%
 
Ni sawa na useme unapenda NJAA! Sema unapenda kuwa mwenyewe, ni tofauti na upweke. Upweke ni kukosa company huku unaitamani.
Siku hizi watu wengi ni introverts hata hawahitaji marafiki wana uwaki mwingi sana.
 
Nadhani wewe unapenda kuwa peke yako na sio upweke!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekuzidi.....
mm maongezi yangu ni humu tu na wana jf...
mtaani hata sauti yangu hawaijui...
 
Nikipanda staff bus to job, nikiingia naenda kukaa siti ya peke yangu, au nakaa na mtu mbae najua hawezi niongelesha.

Tukifika kituon ambacho anapanda mtu naihisi kuna mazoea atakuja kunifata na kunipa story zake, bas najifanya nmesinzia.

Kantini job nachukua msosi mwisho, ili nkakae meza ya peke yangu. Maana nikitangulia kukaa mtu anaenijua akiniona anakuna tukae wote. Me simaindishi.

Mara nyingi kifurush najiunga cha wiki ili nipate mb. Sasa zile dakika 150 ckumbuki km nmewah zitumia zaid ya dak 50. Nazo hizi dak 50 labda nmpigie maza.. most of the time zinaexpire.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…