Nikuulize swali je mama yako mzazi akilia utajisikiaje?nikimuona mwanamke analia huwa nafarijika sana huwa napatwa na huzuni usoni ila nahisi raha sana moyoni na huwa naenda kumbembeleza kama nipo nae karibu hapo ndo raha inaongeze
Umeathirika kisaikolojia kijana
Tupo tofauti kidogo, Mimi hufurahishwa na mwanamke anayelia huku akifinya finya shuka na godoro wakati natoa penzi zito....akiwa hivyo hunichukua hata lisaa na zaidi kumaliza mzunguko mmoja tu..kile kilio hunifanya nijione kidume kweli kweli...heheheheh
Mwanaume anayejua kubembeleza mzuri sana.Utakuta limtu limekosea limekuumizs hadi umelia hata kubembeleza halijui shit limekazana tu nisamehe mpenzi wangu bila vitendo ha!ha!ha.Kubembelezwa raha ati
. Ha Ha ha. Mtafutie tu! Mie nitampa ofa ya kumlipia wamburudishe kwa wiki nzima.Kuwa kikundi hapa cha wanawake huwa kinakodiwa kulia msibani, nikupe contact waje wakuburudishe?
sio jianaume unalia ndo kwanza linafoka ukilia inasaidia nini sasa! Jikaze! Utasema mgambo kumbe mpenzi!
ha ha haaa..teh teh teeehhh!!!