Ukitaka kuifaidi mvua uwe kwenye hali hizi;
1. Weekend uko nyumbani umefungulia mziki mzuri wa ferre gola 100kilos kwenye music system yako ya 1000 watts.
2. Uwe unamsubiri baby akusms umfuate kituoni huku nje una crown athlete imepaki.
3. Uwe na baby ndani mnafirigisana kutwa nzima huku mvua inanyesha.
4. Uwe na vyakula vyote unavyohitaji kwenye jokofu, just kufungua na kupick tu.
Mvua tamu!!