Napenda sana kufanya mapenzi

Napenda sana kufanya mapenzi

Huyo ni mwanaume. Lakini anajishangaa kwamba anawapenda zaidi wanawake kuliko wanaume wenzie. Sasa shangaa hapo,alitaka awapende zaidi nani sijui!
 
teh hajielewi
 
Wakuu,

Nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu ninaoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume katika shughuli mbalimbali za kijamii.

Msaada tafadhari nitoke huku!

Hujaeleweka wala nini! mfumo upi huo unaotaka kuubadilisha kwan wew ni gay?
 
Wakuu,

Nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu ninaoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume katika shughuli mbalimbali za kijamii.

Msaada tafadhari nitoke huku!

Ngoja wanafunz wenzio waje wakusaidie nadhan wao wataelewa ulichoandika unakusudia nin
 
Huyo ni mwanaume. Lakini anajishangaa kwamba anawapenda zaidi wanawake kuliko wanaume wenzie. Sasa shangaa hapo,alitaka awapende zaidi nani sijui!

Labda atakuwa alikuwa shoga wa kike hivyo washenzi wenzie washamuharibuu sasa atamani kurudia uaname...
 
mzinzi mkubwa weeee! unaonesha ni jinsi gani ulivyopunguani! hilo ndo tatizo? ndorrrrrrobo mkubwa wewe!
 
Hapa mltegemea aseme anapenda ku gegeda/gegedwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom