man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 464
- 319
Wakuu
nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu naoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume ktk shughuli mbalimbali za kijamii
msaada tafadhari nitoke huku!

mpaka shule zifunguwe tutasikia mengi
Wakuu,
Nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu ninaoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume katika shughuli mbalimbali za kijamii.
Msaada tafadhari nitoke huku!
mpaka shule zifunguwe tutasikia mengi
Hivi shule zimefungwa?.
ujaelewa nn hapo?