'Mwanajeshi mstaafu wa jeshi la Marekani KT Robbins, (97) ambaye alishiriki katika vita ya pili ya dunia amekutana na mpenzi wake Jeannine Pierson, 92 mfaransa waliyepoteana kwa miaka (75), baada ya vita kuisha kukutana katika maadhimisho ya D-Day. 'Source: KONA YA HABARI
View attachment 1130223
View attachment 1130224