Napenda nami initokee

Hiyo ina maanisha kwamba wenzetu life span yao ni kubwa mno. ...Yaani katika huo umri still wote bado wapo Hai? !!!!
 
Hiyo ina maanisha kwamba wenzetu life span yao ni kubwa mno. ...Yaani katika huo umri still wote bado wapo Hai? !!!!
Ni kweli mkuu,nadhani cha muhimu ni maandalizi na kujikinga na magonjwa hatarishi pamoja na kupata lishe bora + mazoezi
 
Mimi siombei kukutana na ex wangu hata mmoja.

Siku zote naangalia forward to working with partner mpya.
 
Ikutokee nin.

Ukapigane vita.
Upotee.
Au umpoteze mtu.

Huku mkipotezana.... Utakuta demu kachakazwa na vijana.... Huwez kumtamani teena.

Aah aah
 
Ikutokee nin.

Ukapigane vita.
Upotee.
Au umpoteze mtu.

Huku mkipotezana.... Utakuta demu kachakazwa na vijana.... Huwez kumtamani teena.

Aah aah
ha ha ha ha,hawa kwa sasa hivi si wapenzi ila walikuwa wanakumbukia enzi hizo walipokuwa wapenzi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…