Napenda nami initokee

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,818
Reaction score
61,500
'Mwanajeshi mstaafu wa jeshi la Marekani KT Robbins, (97) ambaye alishiriki katika vita ya pili ya dunia amekutana na mpenzi wake Jeannine Pierson, 92 mfaransa waliyepoteana kwa miaka (75), baada ya vita kuisha kukutana katika maadhimisho ya D-Day. 'Source: KONA YA HABARI


 
Baada ya miaka 2 Mbele Watanzania tutataman tukutane na RAMBO lakin haitawezekana kam saiz!No way RIP Rambo πŸƒπŸƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…