Napenda ladies in uniforms! Wewe je?

Napenda ladies in uniforms! Wewe je?

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
715
Reaction score
353
Lady sniper.....
imagejpeg


Kikosi cha mizinga......

imagejpeg



SOF....
imagejpeg
 
Samahani mara ya kwanza gobore liligoma.....

Lady sniper
ImageUploadedByJamiiForums1346980075.097694.jpg

Kikosi cha mizinga
ImageUploadedByJamiiForums1346980179.564210.jpg

SOF
ImageUploadedByJamiiForums1346980205.957465.jpg
 
Unawaongelea Amazonian Guards aka Revulutionary nuns, wengi walidefect wakati wa ile vita na kuna allegations za kupikwa kuwa walikua wanabakwa na Mzee mzima na wanae ila taarifa zao nyingi hazijulikani, Ghadafi mpaka anakamatwa alikua mwenyewe tu kwenye kalavati masikin

Ila hao wachumba tu kwa hawa watoto wa kiyahudi wanaenda front kila sikusio mchezo
 
ivi hawa hapa bongo wapo kwel????
 
Wale wa Gadaffi - Hivi walienda wapi wakati wa vita? Na sasa sijui wanafanya nini/

Mkuu hata mimi najiuliza wale wauaji walipo sasa hivi,maana midude kama ile haiwezi kuolewa
 
Siangalii mavazi mie, napenda mashine bora. Mavazi ni additional creterion
 
Hao walinzi wa Gadafi wote walibakwa na kuuawa na wale waasi walioanzia benghazi!
 
Wale wa Gadaffi - Hivi walienda wapi wakati wa vita? Na sasa sijui wanafanya nini/

Wameolewa na wanajeshi wa Marekani, ni mmoja tu ndio mpk sasa hivi hajajibu, lkn wengine wote wana mimba
 
Back
Top Bottom