Napenda kuwa mtangazaji

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,376
3,618
Habari zenyu wandugu napenda kutangaza sana katika vituo vya redio je maslah yake yakoje? Nawasilisha
 

Abel Pangamawe

New Member
Jun 7, 2011
4
1
Hongera kwa kufanya maamuzi ya kuwa mtangazaji, sipendi kujua zaidi malengo yako kama wengine wanavyosema unataka kwa maslahi ofcourse siyo mbaya kama utataka kwa ajili ya maslahi ila nakushauri kutafuta vyuo vinavyotoa mafunzo hayo ili kufanikisha ndoto yako. kwa more information unaweza kuniconsult mi ni mtaalam wa hayo mambo kwa namba hii 0755479082.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom