Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,024
- 1,960
- Thread starter
- #21
Mmmh!!!! , kiukweli hizi mb zilikuwa ziwafanya watu kuwa wendawazimu, muda wote watu walikuwa wanashinda inst, fb nk. kupost mapicha, ushambenga na ushankunaku, ni watu wachache sana waliokuwa wakitumia mb kwa manufaa na kujua matumizi sahihi ya Internet, kwa hili wa Tanzania hakuna kupinga, binafsi naunga mkono hoja.
Shy land napita mie.
Apologise lady mimi hunifurahisha hiyo safari yako hahaha(utan)
backa kwenye mada.
kama ilivyo kwa vifaa vingine vya takinolojia ya kigeni kama gari, pikipiki,n.k
lazima mtumiaji afundishwe namna yakukitumia, ili kile kitu afaidike nacho.
watanzania hatujafahamishwa matumizi ya internet yakuleta positive impact, matokeo yake tunaharibu na shughul zetu zingine.
Last edited by a moderator: