masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,471
- 19,713
- Thread starter
-
- #101
ushaur mzuriPendelea kufanya aerobic exercises,haya ni mazoezi ambayo wakati wa kufanya unaingiza hewa nyingi safi mwilini na kutoa hewa chafu nje na kutoka jasho jingi,mazoezi haya ni kama kukimbia,mchakamchaka,kucheza mpira,kuruka kamba e.t.c....achana na anaerobic exercises ambayo haya ni mazoezi unayofanya ukiwa ndani amboko oxygen ni ndogo kama vile kupiga chuma e.t.c hayana faida sana kwa afya kwani huwa hayaunguzi mafuta mwilini kwa wingi!
mwee tumbo linauma sana hapa mwee,yaani kama kidonda
mwee tumbo linauma sana hapa mwee,yaani kama kidonda
wala sio utani Mungu kanijaliaMwee!mwe nini hebu tutokee hapa kila unachoaambiwa hutaki ,unataka nini?au ndio unaturingishia hilo shape lako bomba naturali?haya bibi we are hooked tupiamo kapicha tujiridhishe tukutafute!(joke masai dada)
wala sio utani Mungu kanijalia
Hello masai dada sijaskia jina lako wakati najua uliitia nia kweli kweli..... What's up?
nasubiri ukuu wa wilaya nasikia mkulu mpya anapenda sana furushií-½í¸…í-½í¸…í-½í¸…í-½í¸…
masai dada usinitie majaribuni mie!maana wanawake wa siku hizi wakijaaliwa shape hawachelewi kuiharibu kwa kufakamia minyama choma na mibia!mi vitambi utafikri wanataka kuzaa sasa hivi!wala sio utani Mungu kanijalia
Endelea na push ups mkuu....japo nakushauri utafute program ili uifuate.
Nina program moja in 2 months ukiifuata utafanya 150 push ups non stop
Furushi la nyuma au la mbele?
hahaha sina tumbo ila kwingne kote namshukuru allah kafanya kaz yakemasai dada usinitie majaribuni mie!maana wanawake wa siku hizi wakijaaliwa shape hawachelewi kuiharibu kwa kufakamia minyama choma na mibia!mi vitambi utafikri wanataka kuzaa sasa hivi!
hahaha sina tumbo ila kwingne kote namshukuru allah kafanya kaz yake
sina mwili mkubwa wa kupunguza napenda tu kuwa fiti tayari kwa lolote😊😊😊😊Nenda instagram mtafute huyu jamaa@doviesworkout au jingine@doviesfitness anamazoezi wala hayahitaji nguvu yupo vizuri huyu jamaa au mtu yoyote amcheki afu alete feedback tujue kama yamekufaa
Mkuu naomba unishirikishe kwenye hiyo program yako. Mimi huwa napiga push ups 20 had 30 kwa asubuhi na jioni, hivyo napiga kati ya 50 na 60 kwa siku. Nahitaji kuwa naziongeza kila siku. Shukrani mkuuEndelea na push ups mkuu....japo nakushauri utafute program ili uifuate.
Nina program moja in 2 months ukiifuata utafanya 150 push ups non stop