Napenda kukaa peke yangu lakini nina mke

Napenda kukaa peke yangu lakini nina mke

Status
Not open for further replies.
mmmmmmmh....kweli mkeo amepata jaribu inabidi mlango wa kutokea uwe wazi muda wote. Nampa poleyeye, na wewe nakuonea huruma inaonekana hujielewi, nakubaliana na wakuu huko juu inwezekana tatizo ni umri wako umekimbilia kuoa bila kujua majukumu yako na nafasi yako kama mume wa familia.jitahiddi ujitambue mapema kabla hujapoteza mke sisi hatutakuwa na ushauri jinsi ya kumrudisha mkeo akikukimbia.
 
uyu jamaa mbna na mwonea huruma....fukuza mke alafu uwe unaendelea lewa utaona shughli ya wahuni...!!!
 
Wakati mwingine mimi uwaga najiuliza hivi watanzania wenzangu mmelogwa na nani? Sasa kama huyu ndugu, sijui ni upumbavu umemzidi?

Mahana kama baba timamu huwezi kufanya mzaa na fiucha yako kwa kuwekeza baa na kuomba mtengane na mke wako!!!!

Ndugu yangu kwanza nakushauri ya wezekana tatizo ni umri na marafiki wanao kuzunguka, je! Wameoa? Na kama wameoa ndoa zao zikoje?

Maana tatizo uanzia kwenye marafiki wanao kuzunguka,sivibaya kuwa na marafiki,lakini sio kila mtu anafaakuwa rafiki yako,

ni muhimu sana kila mtu kuwa na marafiki wenye busara na heshima,ukiwa na marafiki walevi au wazinzi basi tegemea na wewe kuwa sahemu ya tabia zao maana tabia uambukizana,

ukiwa na marafiki wenye busara,au wenye kupenda maendeleo basi hata wewe utavuviwa tabia hizo,na kuwa nazo,

nakushauri chunguza magrup na uchuje marafiki wa baya na kubakiza marafiki wema, na wenye busara,

mwisho; wacha pombe, pombe ni adui mkubwa wa maendeleo utakuja kujuta kwa ujinga uhu wa kulewa lewa, mweshimu sana mke wako hao marafiki watapita tena ukiishiwa watakucheka sana,lakini mke wako atabaki kuwa mketu:
 
Mimi ni mnywaji, kwakeli ninapigapiga, nimechoka kukaa na mke, napenda nikae peke yangu, ila akisafiri huwa na sumbuka sana, siku mbili bila kula si ajabu tena huwa nimeonja, nifanyeje? Napenda kukaa peke yangu, ila wife yeye ananipenda hapo tu angekua ashaondoka zamani.

Da, sasa huko unakoelekea utaanza kugongwa
 
Rudia kusoma uliyoyaandika halafu chambua mwenyewe labda utajigundua.
 
Mimi ni mnywaji, kwakeli ninapigapiga, nimechoka kukaa na mke, napenda nikae peke yangu, ila akisafiri huwa na sumbuka sana, siku mbili bila kula si ajabu tena huwa nimeonja, nifanyeje? Napenda kukaa peke yangu, ila wife yeye ananipenda hapo tu angekua ashaondoka zamani.

Hahaaa… ulipokuwa unaandika hii post ilikuwa umeshakunywa ngapi..?!!
 
Hii thread sikuandika mm aisee, duh! ngoja nimtafute huyu,inaonekana sikua nime signout akafikiapo mh!
 
Hii thread sikuandika mm aisee, duh! ngoja nimtafute huyu,inaonekana sikua nime signout akafikiapo mh!
Mbona unahaha akili ilizima mpaka watu wakapost maoni yao jwa niaba yako
 
Hii thread sikuandika mm aisee, duh! ngoja nimtafute huyu,inaonekana sikua nime signout akafikiapo mh!
Mbona unahaha akili ilizima mpaka watu wakapost maoni yao jwa niaba yako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom