al abry
Senior Member
- Feb 5, 2017
- 161
- 102
Habari zenu wadau wa siasa hizi za kimataifa.
Kama heading yangu inavyoeleza,natamani saana kupata historia japo kwa kifupi kuhusiana na NORTH KOREA,kwa mwenye uwezo nayo tafadhali naomba msaada katika maeneo haya;
1.Historia yao,geographia yao, mfumo wao wa kiutawala,wamewahi kuwa koloni la taifa gani au la?wanatumia utaratibu gan hasa katika kuchagua kiongozi wao mkubwa kama raisi?.
2.Uchumi wao kwa mujibu wa historia kabla na baada ya WW2.
3.Uwezo wao kiuchumi ikizingatiwa ni juzi tu wamewekewa vikwazo vipya na UN,je kwa hali ya uchumi wao wataweza ku survive waka maintain uchumi wao bila kushughulishwa na vikwazo hvyo kama ilivyokua kwa nchi kama CUBA?
4.Napenda kujua shughuli zao kuu za kiuchumi,life standard ya mtu mmoja mmoja ndani ya NK.
5.Pia napenda kujua biography ya rais KIM,familia yake,maisha yake,elim na jinsi alivyopata jukum hilo na kuwa rais.
6.Uwezo wao wa kijeshi na over view ya nin kitaweza kutokea endapo wataingia vitani na marekani.
Asanteni.