Appreciated!!!Botswana ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika . Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana.
Mji mkuu wa Botswana ni Gaborone .
JIOGRAFIA:
Botswana haina pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na Zambia,
Zimbabwe , Afrika Kusini na Namibia . Mpaka baina ya taifa la Botswana na Zambia ni meta 700 tu na ndio mfupi kuliko mipaka yote ulimwenguni .
Hifadhi ya taifa ya Chobe.
Kuna pia feri ya moja kwa moja kati ya Botswana na Zambia kuvuka mto Zambezi .
Jangwa la Kalahari linafunika theluthi mbili za eneo la Botswana.
Moja ya maeneo muhimu nchini Botswana ni delta ya mto Okavango . Delta ya Okavango ni delta kubwa kabisa duniani, maana yake mdomo wa mto si baharini bali kwenye nchi kavu, maji yakiishia jangwani.
HISTORIA
Historia ya Botswana
Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa
wawindaji wa jamii ya Wasani.
Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa
kilimo na uhunzi .
SIASA.
Botswana imekuwa na mfumo wa
demokrasia kwa miaka mingi, ikiwa na viongozi ambao huchaguliwa kwa kura ya wananchi wote.
Rais wa jamhuri ni Festus Mogae .
WATU
Msichana akikusanya chakula katika Delta ya Okavango .
Watu wa Botswana hujiita Batswana kutokana na jina la kabila kubwa kabisa nchini (79%). Kuna wakazi takriban milioni 1.6. Kwa sababu nchi ni kubwa msongamano wa watu kwa
kilometa za mraba ni 3.4 pekee. Idadi hiyo ndogo imetokana na sehemu kubwa ya nchi hiyo kuwa jangwa.
Lugha inayotumiwa na wakazi walio wengi ni Setswana (Kitswana ) pamoja na Kiingereza .
Upande wa dini, wakazi wengi (73%) ni
Wakristo , wakiwemo Waprotestanti (66%) na Wakatoliki (7%). Wafuasi wa
dini asilia ya Kiafrika ni 6%. Asilimia 20 haina dini yoyote.
UCHUMI
Uchumi wa Botswana umekuwa imara kwa miaka mingi na hali ya maisha imeendelea kuwa bora kila mwaka tangu uhuru.
Utajiri wa nchi unatokana hasa na
migodi ya almasi, pamoja na machimbo ya shaba na minerali kama vile chumvi.
Watalii wanaongeza pato la taifa hasa kwa sababu ya uzuri wa delta ya Okavango .
Fedha ya Botswana huitwa Pula (yaani
mvua ). Ina thebe (=" ngao ") 100.
Una swali lingine?
Uko sawa jamaaBotswana ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika . Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana.

Asante mkuu nimepata kitu jeeh waweza elezea kidogo kuhusu story ya yule rais wao wa kwanza aliyeoa mzungu ambapo nasikia ilileta shida sana kama unaijua.Botswana ni nchi huru iliyoko Kusini mwa Afrika . Jina rasmi ni Jamhuri ya Botswana.
Mji mkuu wa Botswana ni Gaborone .
JIOGRAFIA:
Botswana haina pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na Zambia,
Zimbabwe , Afrika Kusini na Namibia . Mpaka baina ya taifa la Botswana na Zambia ni meta 700 tu na ndio mfupi kuliko mipaka yote ulimwenguni .
Hifadhi ya taifa ya Chobe.
Kuna pia feri ya moja kwa moja kati ya Botswana na Zambia kuvuka mto Zambezi .
Jangwa la Kalahari linafunika theluthi mbili za eneo la Botswana.
Moja ya maeneo muhimu nchini Botswana ni delta ya mto Okavango . Delta ya Okavango ni delta kubwa kabisa duniani, maana yake mdomo wa mto si baharini bali kwenye nchi kavu, maji yakiishia jangwani.
HISTORIA
Historia ya Botswana
Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa
wawindaji wa jamii ya Wasani.
Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa
kilimo na uhunzi .
SIASA.
Botswana imekuwa na mfumo wa
demokrasia kwa miaka mingi, ikiwa na viongozi ambao huchaguliwa kwa kura ya wananchi wote.
Rais wa jamhuri ni Festus Mogae .
WATU
Msichana akikusanya chakula katika Delta ya Okavango .
Watu wa Botswana hujiita Batswana kutokana na jina la kabila kubwa kabisa nchini (79%). Kuna wakazi takriban milioni 1.6. Kwa sababu nchi ni kubwa msongamano wa watu kwa
kilometa za mraba ni 3.4 pekee. Idadi hiyo ndogo imetokana na sehemu kubwa ya nchi hiyo kuwa jangwa.
Lugha inayotumiwa na wakazi walio wengi ni Setswana (Kitswana ) pamoja na Kiingereza .
Upande wa dini, wakazi wengi (73%) ni
Wakristo , wakiwemo Waprotestanti (66%) na Wakatoliki (7%). Wafuasi wa
dini asilia ya Kiafrika ni 6%. Asilimia 20 haina dini yoyote.
UCHUMI
Uchumi wa Botswana umekuwa imara kwa miaka mingi na hali ya maisha imeendelea kuwa bora kila mwaka tangu uhuru.
Utajiri wa nchi unatokana hasa na
migodi ya almasi, pamoja na machimbo ya shaba na minerali kama vile chumvi.
Watalii wanaongeza pato la taifa hasa kwa sababu ya uzuri wa delta ya Okavango .
Fedha ya Botswana huitwa Pula (yaani
mvua ). Ina thebe (=" ngao ") 100.
Una swali lingine?
Miongoni mwa wapigania Uhuru ambao Afrika haitawasahau ni Seretse Khama, aliyewahi kuwa Rais wa Botswana kuanzia mwaka 1966 hadi alipofariki kwa saratani mwaka 1980.Asante mkuu nimepata kitu jeeh waweza elezea kidogo kuhusu story ya yule rais wao wa kwanza aliyeoa mzungu ambapo nasikia ilileta shida sana kama unaijua.
Asante sana mkuu nimepata kitu, sababu kubwa iliyonipelekea kuleta huu uzi apa ni baada ya kuangalia movie inaitwa A UNITED KINGDOM ya mwaka 2016 , ikanipelekea kutaka kujua zaidi kuhusu nchi hiyo sababu movie hiyo inamuelezea maisha ya huyo rais wa kwanza wa Botswana. Asante sana pia kwa msaada wa google nimepata mengine ya ziada.Miongoni mwa wapigania Uhuru ambao Afrika haitawasahau ni Seretse Khama, aliyewahi kuwa Rais wa Botswana kuanzia mwaka 1966 hadi alipofariki kwa saratani mwaka 1980.
Khama aliyezaliwa mwaka 1921 ni miongoni mwa wanamapinduzi. Pamoja na kuzaliwa katika familia zilizoheshimika katika nchi yake wakati huo, hali haikuwa nyepesi kwake katika kutumia uwezo wake kwa jamii yake mwenyewe.
Tatizo la kwanza alilokutana nalo ni kuhusu uamuzi wake wa kuoa mwanamke wa Kizungu, kikwazo cha kwanza kikawa ndoa yake. Baada ya kupata elimu nje ya nchi akianzia nchi jirani ya Afrika Kusini kisha Uingereza, alirejea nyumbani akiwa amemuoa Ruth, karani wa Kizungu aliyekutana naye Uingereza.
Hilo lilikuwa tatizo la kwanza kutokana na mazingira ya kibaguzi wakati huo, hasa katika kutimiza nia yake ya kuikomboa nchi yake kutoka katika Ukoloni wa Waingereza.
Awali, uhalali wa Khama kuendelea kuwa kiongozi wa kimila katika jamaii yake uliwekewa pingamizi na Ukoloni wa Uingereza, hasa baada ya hatua yake ya kuoa mwanamke kutoka katika jamii ya Wazungu, japokuwa taarifa ziliainisha wazi kwamba ana uwezo mzuri na mkubwa wa uongozi, hatua zilichukuliwa dhidi yake kwa kile kilichotajwa kuwa ni ‘ndoa batili isiyokubalika’.
Hatua hiyo ikawa sababu ya Khama na mkewe kufukuzwa na kulazimika kuishi uhamishoni kuanzia mwaka 1951, uamuzi ambao ulibatilishwa baada ya kuruhusiwa kurejea nchini kwao mwaka 1956 akiwa na mkewe Ruth, lakini wakitambuliwa kuwa raia wa kawaida kabisa baada ya kupokonywa sifa ya kuwa kiongozi wa kimila.
Baada ya kurejea nyumbani, Khama alianza maisha ya kawaida. Alijipambanua kama mfugaji na kuanzisha ranchi ya mifugo huku akishiriki siasa za kijijini na mwaka 1957 alichaguliwa kuwa miongoni mwa wajumbe wa baraza la kabila lake.
Hiyo ilikuwa safari mpya kwa Khama ambaye mwaka 1961 alianzisha chama cha Wazalendo wa nchi yake, wakati huo ikijulikana kama Bechuanaland, alichokipa jina la Bechuanaland Democratic Party (BDP).
Hatua hiyo ilipata nguvu kutokana na uzoefu alioupata wakati akiwa uhamishoni na alikutana na watu waliokuwa na mitazamo na harakati za kupigania uhuru wa mataifa yao, hiyo ilikuwa sababu ya kwanza ya kupata kuungwa mkono na wapigania uhuru wengine wa Afrika ambao walishapata mafanikio. Aliingia katika uchaguzi mkuu mwaka 1965 kwa mafanikio, baada ya kupata kura nyingi dhidi ya wapinzani wake, vyama vya Socialist na Pan-Africanist.
Hatua hiyo ilimpa nafasi ya kutawala, si kabila lake tena, nafasi ambayo alishaikosa kwa sababu ya tofauti zilizojitokeza awali, bali kuwa waziri mkuu katika serikali iliyoundwa.
Khama anakumbukwa kwa namna alivyotumia nafasi hiyo akiwa waziri mkuu kushinikiza Uhuru wa Botswana akiwa katika mji mkuu mpya wa Gaborone, ambapo muundo wa Katiba Mpya mwaka 1965, ulitoa mwanya wa kupatikana kwa Serikali mpya huru na Septemba 1966 Botswana ilitangazwa rasmi kuwa Taifa huru.
Uhuru wa Botswana haukumtupa Khama, aliyeteuliwa kuwa rais wa kwanza na mwaka huo huo Malkia wa Uingereza alimtangaza Khama kama miongoni mwa watu wenye kuheshimiwa katika Serikali ya Uingereza.
Miaka 28 baada ya kifo chake, mwanaye Ian Khama aliendelea kufuata nyayo za baba yake, kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa nne wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2009 na uchaguzi mwingine uliofanyikia Oktoba mwaka huu. Mwanaye mwingine, Tshekedi Khama alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Serowe.
UbarikiweAsante sana mkuu nimepata kitu, sababu kubwa iliyonipelekea kuleta huu uzi apa ni baada ya kuangalia movie inaitwa A UNITED KINGDOM ya mwaka 2016 , ikanipelekea kutaka kujua zaidi kuhusu nchi hiyo sababu movie hiyo inamuelezea maisha ya huyo rais wa kwanza wa Botswana. Asante sana pia kwa msaada wa google nimepata mengine ya ziada.