Yametimia! Ukiona Manyoya ujue ...
Fuatilia tamthilia hii:
Toto Africans: Baba kuna mtoto mzuri, lakini hataki kutoa!
Yanga: Sifa zake ni zipi?
Toto Africans: Ni mweupe ukipenda mwekundu kwetu Mwanza yuko juu sana, miguu ya kihaya, makalio bomba sana.
Yanga: Mwanangu wewe hujala kabisa?
Toto Africans: Sijala baba, ni mimi tu na Kagera Sugar tulimfunua angalau mapaja, lakini wote hatukula.
Yanga: Basi mimi nitakula, lazima abikiriwe.
Yanga kakutana na mtetea, mambo yalikuwa hivi:
Yanga: Vipi umesikia utamu Sweet wangu?
Simba: Ndiyo lakini umeniumiza sana, bao moja lakini la nguvu, nilijifanya sitoi huko nyuma, sasa nitawapa na wengine pia.
Yanga: Kwa nini ulikuwa hutoi?
Simba: Nilikatazwa na baba
Yanga: Sasa imekuwaje umetoa leo?
Simba: Wewe ni wangu milele, siwezi kukunyumima wewe, nakupenda zaidi ya baba Sweet wangu.
Yanga: Mimi ndiye mwanaume Sweet, wameshindwa wengine, si umeona bao langu!
Simba: Unatisha Sweet, next time nitakupa tena na ubingwa uchukue kama kawaida yako.
Mtetea kajikung'uta baada ya bao karudi zake Msimbazi kutaga yai, yai hilo liliwe na St. Ivuga na wenzake.