Napenda iwe hivi kesho Uwanja wa Taifa

yametimia! Ukiona manyoya ujue ...

fuatilia tamthilia hii:

toto africans: Baba kuna mtoto mzuri, lakini hataki kutoa!
yanga: Sifa zake ni zipi?
toto africans: ni mweupe ukipenda mwekundu kwetu mwanza yuko juu sana, miguu ya kihaya, makalio bomba sana.
yanga: mwanangu wewe hujala kabisa?
toto africans: sijala baba, ni mimi tu na kagera sugar tulimfunua angalau mapaja, lakini wote hatukula.
yanga: Basi mimi nitakula, lazima abikiriwe.

yanga kakutana na mtetea, mambo yalikuwa hivi:

yanga: vipi umesikia utamu sweet wangu?
simba: ndiyo lakini umeniumiza sana, bao moja lakini la nguvu, nilijifanya sitoi huko nyuma, sasa nitawapa na wengine pia.
yanga: kwa nini ulikuwa hutoi?
simba: nilikatazwa na baba
yanga: Sasa imekuwaje umetoa leo?
simba: wewe ni wangu milele, siwezi kukunyumima wewe, nakupenda zaidi ya baba sweet wangu.
yanga: mimi ndiye mwanaume sweet, wameshindwa wengine, si umeona bao langu!
simba: unatisha sweet, next time nitakupa tena na ubingwa uchukue kama kawaida yako.

mtetea kajikung'uta baada ya bao karudi zake msimbazi kutaga yai, yai hilo liliwe na st. Ivuga na wenzake.







jamani mshahiri umenifurahisha maana
kakubali wkeli kukitoa ki*****
wana msimbazi mpoooooooooooooo
 
hili ndio tatizo la utani wa jadi, anayefungwa anatamani ardhi ipasuke kwa vibweka atakavyofanyiwa.ona sasa hapo mechi haijachezwa watu washaanza visa, je akishinda mtu itakuwaje?

Imekuwa kama ulivyoona na kusikia, kwa kumbukumbu ni kwamba:

Mechi imekwisha:

Mtetea kajikung'uta karudi zake Msimbazi akiwa na urutubisho wa kutosha.

Jogoo naye kawika na kuelekea zake Mitaa ya Twiga na Jangwani akiwa mwepesi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom