Napenda Biashara za namna hii

Napenda Biashara za namna hii

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Habari wadau wa JF

Nataka kuanzisha biashara ya mtaji usiozidi laki tano lakini nahitaji zile biashara za kwenda sehemu(zinakopatikana kwa wingi na nafuu) kujumua mzigo kisha kuuza kwa jumla yani ile To and Flo unafunga mahesabu yako fasta sio zile za kukaa kusubiri wateja kama duka, genge n.k.

Nadhani nimeeleweka, wadau naombeni Idea zenu za biashara za namna hiyo tafadhali ikiwezeka elezea zinakopatikana na masoko yake na namna ya kupata soko kwa mimi ninaeanza

Asanteni
 
Sijui ulipo. Ila kwanza ufanye utafiti wa kujua wafanya biashara wadogo ulipo wanapata wapi mzigo na kwa bei gani ili uone utawasupply kwa bei gani na huo mzigo unapatikana wapi.
Unataka tukufanyie kazi yote hiyo wewe hata kusema uko wapi ?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau wa jf
Nataka kuanzisha biashara ya mtaji usiozidi laki tano lakini nahitaji zile biashara za kwenda sehemu(zinakopatikana kwa wingi na nafuu) kujumua mzigo kisha kuuza kwa jumla yani ile To and Flo unafunga mahesabu yako fasta sio zile za kukaa kusubiri wateja km duka,genge n.k
Nadhani nimeeleweka wadau naombeni Idea zenu za biashara za namna hiyo tafadhali ikiwezeka elezea zinakopatikana na masoko yake na namna ya kupata soko kwa mimi ninaeanza
Asanteni
Sio kirahisi hivyo.
 
Sijui ulipo. Ila kwanza ufanye utafiti wa kujua wafanya biashara wadogo ulipo wanapata wapi mzigo na kwa bei gani ili uone utawasupply kwa bei gani na huo mzigo unapatikana wapi.
Unataka tukufanyie kazi yote hiyo wewe hata kusema uko wapi ?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Aaanh mkuu mimi nipo kigamboni nilisahau kujieleza hivyo
 
Sijui ulipo. Ila kwanza ufanye utafiti wa kujua wafanya biashara wadogo ulipo wanapata wapi mzigo na kwa bei gani ili uone utawasupply kwa bei gani na huo mzigo unapatikana wapi.
Unataka tukufanyie kazi yote hiyo wewe hata kusema uko wapi ?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Nimeipenda idea yko
 
Kuna wakati nikitengeneza pesa nyingi sanaa kwenye udalali flani.....ila kama kawaida binadamu walivyo na roho mbaya wakanikatia ule mfereji wangu wa hela.

Nilifanikiwa kupandisha nyumba kubwa room 4 zote master na mengine including store and lounge from msingi hadi lenta chap tu.

Niamini udalali una hela.....ila make sure ni mfumo flani wa kuuza jumla kwa reja reja pasua kichwa.

Japo binadamu waliniharibia ila nilijifunza jambo kwenye biashara yenyewe na binadamu walivyo kwa jumla.

Shikilia Wazo Hilo Hilo Utatoboa Siku Si nyingi. Niamini boresha idea yako hapo kwenye wholesale na make sure unaemuuzia hajui mzigo anaupata wapi isipokua ni kwako tu.
 
hakuna biashara ambayo muuzaji hangojei wateja.
 
hakuna biashara ambayo muuzaji hangojei wateja.
Zipo, ila sio nyingi.

Ukipata kusupply mzigo kambi ya jeshi au hoteli, ni wewe ndio utasubiriwa.

Kuna dogo yupo South Korea, anatuma simu weekly hapa Tz, huku ndio wanasubiria, yeye oda zina flow tu...

Kuna jamaa kabla ya covid alikua anafata mapambo India, mzigo ukitua tu umeisha.

Kuna mwengine alikua analeta foils na teeth sticks kutoka Dubai kwa oda.... alipiga kitonga.
 
Back
Top Bottom