Napenda aina hii ya mahusiano (no strings attached)

open relationship
Open relationship ni tofauti na no strings attached! hiyo open relationship ni pale watu wawili walioko kwenye uhusiano(ie ndoa), halafu wakakubaliana kuwa kila mtu anaweza kuchepuka endapo atajiskia kufanya hivyo.

Mfano mmojawapo wa walioko kwenye open relationship ni Brad and Angelina Jolie.

Aliyepo kwenye open relationship ndiye anayeweza kuchepuka kwa misingi ya no strings attached huko anopochepukia!
 

Sawa mkuu
 
hakuna cha madada poa........

mnamzodoa tu mleta mada , ila hayo mahusiano ya hivyo yapo mengi sana mbona.

mbona most bf gf relationships ni hivyo hivyo tuu...watu wanamegana na pia muchepuka mwisho wa siku mtu anabwagwa
 
hivi hapo umetaja FAIDA au kaushuzi fulani hivi.............

watu wanapambana kurekebisha MAADILI yanayopotea, wewe unapambana kuyaharibu

maadili yapi? amenena vizuri sana tu, hii inaepusha pressure za mahusiano.
 

Sex partner?
 
Unasapoti prostitution lakini hujawa straight. Ndoa siyo agizo la mwanadamu lilitoka kwa Mungu.
 
Unasapoti Ukahaba lakini hujawa straight. Ndoa siyo agizo la mwanadamu lilitoka kwa Mungu.
 
I used to say that is the best kind of a relationship..nilipokua na kujua ngono is only a portion in a biiiig plate,nikaona kweli ule usemi wa ukikua utaacha una maaana kubwa sana!
 
I used to say that is the best kind of a relationship..nilipokua na kujua ngono is only a portion in a biiiig plate,nikaona kweli ule usemi wa ukikua utaacha una maaana kubwa sana!
Wella argued idaz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…