Napenda aina hii ya mahusiano (no strings attached)


Hata mimi nayakibali sana mapenzi ya hivi!kwa nijuavyo mimi sio kwamba wanawake wa hivi wanajiuza Bali unakuta mmpendana lakini kila mtu ana mtu wake tayari so kinachotokea hapa mnakuwa mnakutana pale ambapo kila mmoja anamhitaji mwenzie Mfano mwanaume ndo anamhitaji mwanamke so anacall anakuja mahali anampa shughuli then ktk kuondoka ndo unafungua wallet unampoza hata na buku 20 au zaid au hata humpi chochote lkn mwenyewe anakuwa ameridhika!na huwa hakuna msg msg za kusumbuana oooh baby sijui nn!me mwenyewe nakubali sn hizi mapenzi za design hii!
 

Hapo mnazungusha lugha tu - hiyo ni biashara ya ngono. Unampoza au unamlipa?
 

Nafikiri yanawafaa zaidi wale walioachwa na waume/wake zao na tayari wana watoto wa kutosha na hawahitaji kuoa/kuolewa tena ingawa vigegedeo vyao vina nguvu na vinahitaji huduma!
 
cjui wadada wana justify vp nikiwa na uhusinao nae nianze kumpa na hela na kusettle bill zake!!!
 
Hua inaanza kama no string attached

Ila baada ya muda String attached
Hapo ndo matatizo yanapoanzia.
Utaskia mbn hupokei simu nikipiga, meseji hujibu au siku hizi umebadilika

Ukiona dalili hizo ujue Uzi umeshaungana ( string attached)
 
binafsi mwanaume asiyenivutia siwezi kumvulia nguo au nijue hana malengo eti for fun...!!!dah yani mambo mengine mi nahisi kujishusha utu

Malengo si ndio hayo for FUN.
 
  • kila mtu anaweza kuwa na mpenzi wake bila kuoneana wivu.
  • kufanya mapenzi bila woga
  • kufanya mapenzi wakati wowote bila kikwazo mda ukipatikana ni wakatii wa chakula.
  • hakuna kuchunana.
  • mnaweza kutana mahali popote na kupiga kazi bila kuingia gharama.
  • time saving no unnecessary question ooh ulikuwa wapi na nani/
ki ukweli mapenzi ya hivi hayana shida ni raha tu
 
eat and run,,,,,u got my no...i got urs.....c yaaahh.
 
Kutumia kinga isiwe tija ikufanye ujiamini kuwa na multiple partners.
Kumbuka kunamagonjwa hatari zaidi ya STD's like Hepatitis B na Infectious mononucleosis-(IM) a.k.a ''the kissing disease'' ambayo ni more contagious unaweza ukayapata
Jali afya yako kuliko desire za mwili wako.
 
Mmmnh..... Mahusiano ya namna hii mimi siyawezi kabisaaa..!!
 
Siyo lara 1 Kweli Huyu Kabadilisha Tu Aina Ya Uandishi Na ID.If Not bombom seconds Her !!
 
Last edited by a moderator:
mi napita.. nimeingia choo cha kiume
 
Rafiki yangu alikuwa na mahusiano kama haya, ukianza unanogewa. Ni addictive, ukija kuoa utaona mkeo ni mzigo

Mtu kama huyo hatakiwi kuoa....aishi hivyo maisha yake yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…