Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

Laiti Nape angekuwa na uhakika wa CCM kushinda 2015 asingeenda kugombea ubunge jimbo la Mtama.Ameshaona chama kinaenda halijojo anaona bora aibe kura akimbilie bungeni kwani hakutokuwa na ajira ya chama.
 
Kwa kusema kuwa sisi tuanaohudhuria mikutano ya UKAWA ni wanywa gongo na walala wavuta bangi eti hatupigi kura kazi kushabikia na kusema wingi wawatu sio wingi wa kura, kwanini? kosa tatizo nini Nape?

NAKWAMBIA UKWELI MDOGO WANGU NAPE, HIKI CHAMA UNAKITIA SHOMBO SANA UPO VICHWANI MWA WATU WENGI SANA KWA MANENO YAKO MAGUMU, CHAMA HAKIJENGWI KWA KASHFA DOGO NAOMBA UWE NA STARA NA UENDESHE SIASA KI STAARABU SANA.

MUNGU AKUBARIKI SANA ILA UNAKIUA HIKI CHAMA
 
Hata KANU walikua na mawazo kama hayo lakini mwambie awaulize kilicho wakuta
 
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo

Mavi yako..unajua kizazi cha fecebook na tweeter mkuu..watu hadi vijijini wanahasishana kupitia simu zao..hayo mafuriko unayoyaona karibu watu wote wana vichinjio!..wako tayari kuichinja ccm october25! ..hao wavuta bangi na wanywagongo ndo wapiga kura..dharau zenu ..zitawafanya mjiharishie!
 
Sio lazima kutaja mikoa yote tunawakumbusha tu msije mkatoa macho maana kama ni kujaza nyomi hata Juma nature/Sugu/Ney wa mitego/Kala Jeremia kwenye tamasha la DEMOCRACY IN DAR wamejaza nyomi zaidi ya unavyoweza kufikiria Tena ni weekend hii iliyopita. Kinachotakiwa ni kutulia, kufanya uchambuzi wa kina na kuja na mkakati au ushauri utakaosaidia upande unaoushabikia. Kama ni kubarikiwa au kulaaniwa wengine sio waumini wa unachokifikiria, na laana haipimwi kwa macho au wingi wa watu.Tunatakiwa tu kutulia na kufanya tathmini bila mihemko yeyote na bila ushabiki. Msingi ni kwamba kwenye kura hakuna huruma ya mungu maana Mungu amempa kila mtu akili na utashi kama mmasubiri Mungu amwage laana na rehema imekula kwenu, maana imeandikwa asiyefanya kazi na asile, anayepiga hodi hufunguliwa..........
 
This time around, come late October, 2015 Nape will be seeking political asylum somewhere in the world, ILA Rwanda hawezi kwenda, Kagame ameishachagiza. Ametoa changamoto kwa Kikwete mwenyekiti WA AU WA sasa athibitishie dunia kwamba anasimamia democrasia kWa vitendo. Nape is liable for mid interpreting CCM idealogy!
 
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo




Ni kweli wingi wa watu,sio wingi wa kura
Labda Nape nimweleze tu kuwa;

1.ccm inamakundi matatu,kundi la Lowassa litakalotoka na jingine kubaki kimkakati,kundi la pili ni la wale watakaokiadhibu ccm kwenye sanduku,na kundi la tatu ni la wale wanaokipenda chama.

Makundi haya ndio yatakayoimaliza ccm kuanzia kwa balozi hadi kiongozi wa tawi.
 
Kutokubali kushindwa kihalali, hizo ni fujo na hapo sasa ni mtakuwa mmeurupuka na mmepaniki, tulieni mnachotakiwa kufanya ni kupiga kura na kulinda kura, na kuhesabu kura kwa utulivu tena mkiwa Sober kabisa .........mbona hamjiamini.
 
Nape anadharau sana watanzania wa mAisha ya kawaida,Si jambo zuri ilo Mara awaite wananunuliwa kwenda kwa mkutano n.k
 
ahsante nape kwa kunitusi kiasi hiki yani mm niliyeenda kumsikiliza lowasa na ukawa mim navuta bangi na gongo!!!?matusi haya nitayajibu tarehe25 october Mungu naomba uhai na afya njema
 
Hahahahhaha lakn viongozi wa ccm hatupaswi kuwalaumunsana kwani wamepata panic disorder itabidi wapelekwe mirembe
 
Laiti Nape angekuwa na uhakika wa CCM kushinda 2015 asingeenda kugombea ubunge jimbo la Mtama.Ameshaona chama kinaenda halijojo anaona bora aibe kura akimbilie bungeni kwani hakutokuwa na ajira ya chama.

Teh teh teh...
Umenena vyema Mkuu, bahati mbaya hata huo Ubunge hapati..
 
Unajua kwenye tukubali, tuache mambo ya kinafki, vijana ndo kazi zao hzo.
 
Back
Top Bottom