Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

Huyo mungu atakayewapiga ccm ili jambazi lowasa awe rais basi atakuwa ni mungu wa migombani kwenu. Punguzeni jaziba na matamanio ya kushinda kwa kutumia hilo ganda la muwa. Kwa lowasa kuwa rais mwenyezi mungu atakuwa ametuchoka kiasi cha kutosha.
escrow na richmond ipi kubwa, unataka kusema na lowasa alibeba lumbesa kwenye sandarusi? kuna uchafu mwingi ccm ambao kama upinzani ukiingia madarakani mtanyea ndoo wote. ndio maana mnaogopa kwasababu mmefilisi hii nchi. hamna maana hata kuongoza kuku hamfai, sembuse wanadamu?
 
Ukiacha mbwembwe Fact ni kwamba mikutano ya Dr. Slaa Mbeya na Arusha ilikua na watu wengi zaidi ya hii ya Lowassa kinacvhotakiwa sasa hivi ninyi wapenzi wa vyama mbali mbali kuhamsisha watu kupiga kura. kumbukeni kupiga kura ni siku moja tuu, kuandikisha ilikua zaidi ya siku ishirini, na watu hawakumalizika????? Tujipange maana siku ya siku tutajumlisha nakutoa majibu yatakayotokea watu hamtaamini mtalalama siku mbili tatu na biashara itakua imekwisha.
mbona unataja tu mbeya, lowasa mwanza alifunika vile, arusha je, na bado sana subiri kampeni zikianza mtaumia moyo sana ninyi maccm. Mungu ameshawakataa, kilichobaki ni kupata aibu tu, mmeshalaaniwa ninyi na vizazi vyenu.
 
huo ndio ukweli. wapiga kura tumetulia huwezi kutukuta tukideki barabara. only mateja wanaweza kudeki lami.
 
kama ni wanywa viroba mbona CCM inawehuka hivyo si watulie tuone kama wanywa viroba watapiga kura au la na inakuaje wanatumia polisi na mabom ya machozi? tukutane October
 
Dah hakuna kiongoz wa ccm ninayemchukia na simpendi kama nape,,huyu jamaa ameshajihis yy ni makamu wa Mungu kwa hyo hata nchi ya tz pamoja na raia anaona ni kama sehemu yake ndogo tu ya uumbaji wake ambayo anaweza kuitawala apendavyo,,ila nape bhana Mungu hasinzii wala halal,,hata lusifa kwa kiburi alichokuwa nacho mbingun akiwa malaika wa sifa hakuwahi kuamin kuwa leo angewekwa chin ya amri hata ya mwanadam,,ww u nan utudharau hv??Kati yake na mwl Nyerere nan ana uwezo wa kuongea hv??Mbona na yy ni mtu mdogo tu!!!!!!aiseee mimi inaniuma mno kwa mtanzania tuliyemdhan ni kiongoz bora kumbe ni bora hata jiwe lingesimamishwa nafasi yake lingekuwa na ishara nzuri zilizo na point imara....
Ee mwenyez Mungu tunakushukuru watanzania kwa kuwa umeiona taabu yetu nawe umekusudia kutuokoa na taabu yetu,twakusihi sawasawa na mapenz yako utuinue watanzania na kila elimu ijiinuayo kupinga mapenz yako kwa watanzania tunaikataa kwa kuikemea na kuifutilia mbal ktk Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu kristo asiyeshindwa na lolote amen...
 
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo

Nape lete ushahidi unaoonyesha unachokisema ni kweli. Kama una ushahidi basi unafahamu kila mtu anayehudhuria na kutohudhuria mikutano ya wapinzani; na wale wote wanaopiga kura kuwa ambao hawajahudhuria mikutano ya wapinzani ila ya CCM tu, na hao wanaofika kupiga kura basi unajua ni nani amemchagua nani wakati kura ni ya siri.

Kwa kifupi hii ni lugha ya 'goli la mkono'.
 
Basi wasizunguke na Magufuli wao wasubiri ushindi wa kapuni.
 
Ndo tatizo la ccm kuita wananchi vibaka na wakosa kazi. Mda uu wa uchaguzi yani watu walienda mikutanoni ni vibaka ama kweli CCM ilikufa na Nyerere.

Ushabiki pembeni, EL hakuwa kwenye siara ya kutangaza nia wala kampeni ila kupata wadhamini! Mikusanyiko ya watu ya nini?
 
huo ndio ukweli. wapiga kura tumetulia huwezi kutukuta tukideki barabara. only mateja wanaweza kudeki lami.

Waliodeki LAMI kipindi cha ziara ya Obama, kwa amri ya KIKWETE walikuwa ni mateja? Naliona Anguko la CCM.

Watetezi wake wamekuwa kama wamepagawa!!!
 
Waliodeki LAMI kipindi cha ziara ya Obama, kwa amri ya KIKWETE walikuwa ni mateja? Naliona Anguko la CCM.

Watetezi wake wamekuwa kama wamepagawa!!!

barabara zilidekiwa kenya sio tanzania bwana. Ukweli ndio huo asilimia kubwa ya wale wanaojaza yale makutano mnawajua ni watu wa aina gani sema tu hamtaki kukubali ukweli.
 
Ndo tatizo la ccm kuita wananchi vibaka na wakosa kazi. Mda uu wa uchaguzi yani watu walienda mikutanoni ni vibaka ama kweli CCM ilikufa na Nyerere.
tutatumia matusi haya ktk kampeni dhidi ya ccm,jk hatasahau siku alipoazima akili kwa nape na kusema kama walimu wasimpe kura,kama si lipumba kuokoa jahazi kiudini jk leo kaputi
 
Kwa hiyo wingi wa watu 2005 hawakumpa kura jk?nape kwa kufikiria kwa 0713 ni kiboko maana wingi huu ndio ule wa lowasa na jk
 
barabara zilidekiwa kenya sio tanzania bwana. Ukweli ndio huo asilimia kubwa ya wale wanaojaza yale makutano mnawajua ni watu wa aina gani sema tu hamtaki kukubali ukweli.

Ninachofahamu wale ni Watanzania halali, wamepigika na mfumo huu wa CCM, hawautaki tena, kizuri zaidi ni kwamba, wanamiliki VICHINJIO kwa ajili ya kuifutilia mbali CCM, pia raia wale wameshaazimia, yeyote atakayethubutu kumzuia kipenzi chao LOWASSA kuwa mtumishi wao katika ngazi ya urais, kichwa chake ni halali yao! Kwahiyo waambie na wenzako! Msije fupisha maisha yenu bure!!!!

VIVA UKAWA, VIVA CHADEMA, VIVA LOWASSA!!!

#2015nimwakawamabadiliko !
 
Lakini mkuu endelea kuchunguza ile nyomi ya lowassa wengi wabakuwa mbwii,ndo wapiga kura hao?ama wanafuata hela ya gongo pae,ukawa kuweni makini isije kuwa mmejaza siliva mfukoni mkasema mna mamilion

Kwani we umeambiwa kuna mtu anagawa hela ya gongo mkutanoni?
 
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo

Yani hawa wote ni vibaka,kweli CCM inakufa kiume.
 

Attachments

  • 1439833751599.jpg
    1439833751599.jpg
    31.1 KB · Views: 221
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo
Sidhaninkama kayasema hayo. Utakuwa umeongeza chumvi. Kumbuka pia ni huyu huyu huko nyuma aliwahi kusema vyama vya upinzani kuna maeneo hawapati watu kuhudhuria mikutano yao!
 
Ninachofahamu wale ni Watanzania halali, wamepigika na mfumo huu wa CCM, hawautaki tena, kizuri zaidi ni kwamba, wanamiliki VICHINJIO kwa ajili ya kuifutilia mbali CCM, pia raia wale wameshaazimia, yeyote atakayethubutu kumzuia kipenzi chao LOWASSA kuwa mtumishi wao katika ngazi ya urais, kichwa chake ni halali yao! Kwahiyo waambie na wenzako! Msije fupisha maisha yenu bure!!!!

VIVA UKAWA, VIVA CHADEMA, VIVA LOWASSA!!!

#2015nimwakawamabadiliko !

toka lini teja akapata muda wa kujiandikisha? alafu wafanye vurugu jeshi liko wapi? na polisi je? Lowassa safari yake inaishia Monduli atakaporudi kwa aibu baada ya kukosa uraisi. jiandaeni kumsindikiza kurudi monduli hapo october. bayii 4 now.
 
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo

C umewekwa kando kwa kuwa hukijui hata ukisemacho ww vuvuzela
 
Back
Top Bottom