NAPE: Wapuuze wanaokusakama.

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,158
417
Mh. Nape ametumia ukurasa wake wa Tweeter kutoa ujumbe huo kwa kuwashauri wale wote wanazungumzwa negatively (wanaosakamwa) kuwa wasijali kauli na namna watu wanavyowafikiria.

Ushauri huu umekuja muda muafaka wakati Taifa linapambana na Madawa ya kulevya ambapo limeibuka kundi la wanufaika wa Madawa ya kulevya kuanzisha jitihada za kupooza mapambano haya. Watu hao wamekuwa na hoja dhaifu za kuponda mbinu zinazotumika na kuwazungumza vibaya viongozi wa mapambano haya ili mapambano haya ya madawa ya kulevyo yasifanikiwe.

Tunaamini katika Mwenyezi Mungu, watashindwa na kulegea.
Screenshot_20170302-092622.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom