Nape:...aisee mnatupeleka peleka.
JJ:...acheni uoga, mnakuwa kama hamjui siasa bwana!
Nape:...ila mmetukubali kiana.
JJ:...¨ªla chai ya ikulu tamuu...
Nape:...hahahaaa, karibuni tena
JJ:...ngoja nionge na mwenyekiti tutafute sababu, he! Umehamia VETA?
Nape:...umenichoka ee...
Nape: Mnyika unajua CCM wasingefanya uhuni na wakanipitisha kugombea ubunge ningekushinda jimbo la Ubungo?
Mnyika: Wewe acha hizo, wakati mimi nilikuwa na nguvu ya umma!
Nape: Mbona vijana wote wa Ubungo nilisha wateka na kuwaahidi maisha bora?
Mnyika: Vijana wa Ubungo sio kama wa majimbo mengine, hawadanganyiki.
NAPE. nimejaribu kuwafanya watanzania wanielewe ila sijafanikiwa ndipo nikagundua hizi pamba mnazopiga ndizo wabongo wanazizimia,sasa ngoja nipige kama wewe.
MNYIKA.kweli? ndivyo akili yako imekuambia?jaribu.