Nape Uso Kwa Uso Na Warioba

Nape Uso Kwa Uso Na Warioba

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,708
Zipe maneno picha hizi. Kila picha na maneno yake!

35.jpg



36.jpg



37.jpg
.


38.jpg
 
Angekuwa mtu mwingine ningetoa comment yangu lakini sio Nape Nnauye

Huyu sio mwanasiasa bado mchanga sana
 
Last edited by a moderator:
Alienda kumuangalia kama bado yuko hai kwani Nnnape na wazee ni sawa na kifo :hatari🙁mauti :target🙂 na uzima
 
Anajifanya anasikiliza wasio kumbe anawaza ''Huyu Mzee atakufa lini atuachie muungano wetu wa serikali mbili? Anataka kutuharibia dili zetu'' Maana CCM kila mtu ni mpiga dili...
 
36.jpg


Hivi huyu dogo ndiye alisema mawazo yangu ya Serikali tatu ni ya mtua aliyekaribia kufa au?.
 
38.jpg


Dogo sikiliza; sifi leo, kesho wala kwa utashi wako naendelea kuchapa kazi na Watanzani wote wazee kwa vijana na watoo katika mchakato wa katiba mpya hutaki unaacha!.
 
Siasa ni unafiki sana asikuambie mtu,nakumbuka kuna kipindi mkuu wa wilaya ya Temeke alikuwa Tsere yule balozi wa Tanzania nchini Malawi.Basi siku moja Makamba akaenda sokoni Tandika akakutana na hali tete ya uchafu.Kwnye taarifa ya ITV ya saa 12 jioni akapiga biti kwamba mkuu wa wilaya lazima awajibishwe tena vikali kwa kuacha watu wa Tandika wanaugua kipindupindu.Basi mimi jioni nilikuwa sehemu flani the same day nikamuona Makamba na Tsere wanapiga story mpaka wanagonga glass.Kuanzia siku hiyo I never trust the politician maana hawamaanishi wanachokizungumuza bali ni kuzuga tu watu
 
35.jpg


Kumbe huyu Waziri ananileta kwa huyu Dogo. Kwanza analazimisha Serikali 2, halafu anataka wazee tupigwe chini. Ana akili kweli huyu? Atakufa na atatuacha tu​
 
36.jpg


Mzee Serikali tatu naweza kukubali, lakini hakikisha katiba inataja kuwa nape atakuwa Rais wa Tanganyika. kama haiwezekani basi ni mbili tu.​
 
37.jpg


Ni kweli nimekuja na JK; Mwinyi na Mkapa, si unawaona?. Wazee wastaafu wako poa sana.​
 
Back
Top Bottom