Nape umegundua nini?

Labda kaanza kujielewa alikuwa anafanya kazi ya nani na kwa masilahi ya nani, kama ni mtu wa kubadilika basi tumuombee abadilike kweli maana amekuwa akichezewa mchezo mchafu na EL kupitia kwa Savimbi bila ya yeye kujua
 

kiroba:

Kwa sehemu nakubaliana na wewe na kwa sehemu sikubaliani.

Nnape huyu huyu ndiye aliyewaambia Watanzania kuwa CHADEMA WAMEJILIPUA wenyewe baada ya mlipuko wa Bomu na kuua watu 4 kwenye mkutano wa CDM pale Soweto.

Nnepi,Mchembe na Wassira huwezi kuwatenganisha katika mikakati na njama za kuihujumu CHADEMA. Kwa hiyo ukimya wa Nepi usije ukafikiri kwamba hapendi siasa za vurugu!

Kwa mtazamo wangu mie ni kwamba baada ya matokeo ya Udiwani katika kata 4 za Arusha mjini na CCM kushindwa vibaya hawa jamaa kina Nepi na Mchembe wamepatwa na ganzi kabsaa. Ukimya wao huu ni AIBU kubwa iliyowapata baada ya matokeo hayo. Kwa kweli inavoonekana kwa sasa hawa jamaa na CCM yao wanatafakari watasema uongo gani kwa sasa baada ya matokeo ya udiwani kuwavua nguo!

Yawezekana kabisa kwasasa Nepi na Mchembe wamekalia kuti kavu ndani ya CCM baada ya kuonekana kwamba mbinu wanazotumia kuichafua CHADEMA na kujaribu kushinda chaguzi ndogo mbalimbali zimeanza kupoteza mwelekeo na hata hao mabosi wao Kiwete,Kinana na Mangula wana wasiwasi sana na hawawaamini tena!

Juzi tumesikia kuhusu BIFU lililopo kati ya Mwigulu Mchembe na Nepi Nauye kwamba Mchembe kafanya njama za kumdhalilisha Nepi kwa kumtega na jimama kwenye hoteli moja huko jijini Dar na kupiga picha za utupu wakila uroda Nepi na hilo Jimama na picha hizo anazo Mwigulu Nchemba! Kwa hiyo inaonyesha kwamba tayari hawa wawili hawaelewani na tayarei wamehsaanza kufitinishana ili aidha mmoja wao ahame chama au apelekwe Mabwepande!J

JK Nyerere(RIP) alisema kuwa ukishaanza dhambi ya Ubaguzi haitakuacha. Itakutafuna mpaka siku ya mwisho. Kwa hiyo hawa CCM walianza na kubagua wapinzani ili kuwachafua lakini tayari hiyo dhambi imeshaingia kwao na imeanza kuwatafuna. Mimi nasema na iwatafune kwelikweli mpaka washike adabu zao!

Acha iwatafune maana tumechoka!
 
Pole sana Nape hiyo ndo chama kubwa-ccm. unatakiwa uongee kidogo tu, siyo unawika na kufoka kuliko hata bosi wako JK .Ungeendelea kidogo tu ilikuwa imebakia wakufanye vile wanavyowafanyia wale wanaowika sana-meno toa, pu... toa na kadhalika
 
Amefunikwa na Miguu ya Chemba.......
 

Amegundua Haiwezi Chadema, chadema ni chama cha watu
 

Nnape kasoma alama za nyakati...kwani kila zama zina utawala wake , kwani mimi naona mwigulu yupo kwenye "take -off stage " ya kuchukua usukani kamili au kama yawezekana nnape pia kaamua kuvua gamba alilo wavua wenzie.
 
anatafakari, kama lowassa atakuwa mwenyekiti wa CCM hatma yake itakuwa ni ipi? mwenzake mwingilu mjanja anakula na kupuliza juzi alikuwa na mwenyekiti mtarajiwa kule mwanza wakichangisha pesa za wamachinga wa pale makoroboi.
Nape anafanya siasa nzuri za kimaendeleo asipoiga mafyedhuli maana ni mwanasiasa anayechukia ufisadi tatizo lake ni kuropoka bila kuangangalia wananchi wanaumizwa kiasi gani na ufisadi wa Ccm huku wao wakielekeza kodi zetu kupambana na CDM huku matatizo ya wananchi yakizidi kupita kiasi huku wao wakiiba pesa za nchi...Tofauti na Mwigulu anayewaza kuua wapinzani na wanachama wao Nape anawaona wanachama wa CDM bado ni watanzania wenye haki za kuishi na inawezekana kabisa Nape amekasirishwa na kauli ya Pinda pia kwamba wapigwe tu huku akiangalia Ndg zake wa Mtwara wakiumia kwa madhila ya Ccm..Kimsingi inawezekana Nape anatibu saikolojia yake iliyojeruhiwa vibaya na Chama Chake kwa ufisadi,Uuaji,Uonevu,Udikteta na Ugaidi kwa raia wema wasio na pakusemea..Anajiona kama anawajibika zaidi kama akiipinga serikali lakini Njaa ikiuma atakula wapi na Ccm ndio mama yake na baba yake.Ushauri wangu kwa Nape ni huu,kwanza Nape unapaswa kujua wewe Unamvuto wa kisiasa kuliko Mwigulu anayeonekana kama shetani mbele ya watanzania hivyo ikane nafsi yako ungana na wapambanaji wa ufisadi nenda CDM kaongeze Nguvu huta lala njaa Mungu atakulinda ukiwa na makamanda wengine ambao pamoja hujuma zenu ninyi Ccm bado wanadunda usihofu wewe ni mwanaume usiwaze kikekike..Peeeeeeeeeeeeepleeeeees
 
Kawaachia kazi mwampamba na fyonza chini ya savimbi eti yeye hataki kupelekwa pelekwa na savimbi mkuu mwenza
 
Nape Nnauye bado una nafasi ya kujisafisha ukaja tukakuvua gamba, tukuoshe then tukuvishe gwanda.

Unakumbuka siku ile pale Ubungo nilipokuvisha vazi la CHADEMA nadhani 2009? Bado tunakuhitaji ingawa ulisema ni sawa na kumsilimisha POPE.
JIPIME....
 
Last edited by a moderator:
amegundua ccm ni furushi la miba, jitwike uone hahaha
 
kimoyo moyo anawaza 'sijui nikihamia chadema watanipokea'???? @Nape usiogope njoo utabatizwa na utakuwa kiumbe kipya utapokelewa tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…