Nape tumia akili

tatizo system ishammeza, nae ni wale wale saiv. hakuna tena anaeijali TZ apo ccm mkuu. hata useme vp hawaelewi hawa
 
kwa mtazamo wa wachangiaji karibu wote, inaonesha nape ni mnafiki sana. wanaojua maana ya unafiki wanasema bora wachawi 10 kuliko mnafiki 1.
 
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia.

Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu?

Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.

Whereever you are merrymaking, let you be informed that people are angry at your party and government because of your incompetence and rampant corruption!! Nyumba gani inakarabatiwa kwa shilingi milloni 400? This is day light robbery of our resources and does not augur well for your tenure.
 
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia.

Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu?

Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.

Unamwambia Nape atumie akili kwani anazo hizo akili. Kazi yake ni ya uvuvuzela, period? Aliyemchangua ni lazima afanane na kiwango chake cha akili!!! Ndivo walivyo.
 
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa taratibu, acha utoto, kuna tatizo hapo CCM, Sema kweli angalau usaidie Chama chako, hata Idd Amin wakati majeshi ya Tanzania yameiteka Kampala aliendelea kutangaza kuwa bado yuko imara, hatimae akatorokea Saudi Arabia.

Toa kauli za ukweli ingawa unauma. CCM si Chama Cha Ukombozi tena ndio maana watu wanahama kwa kasi. Historia itakuhukum usidhani tutakusahau kwa unayoyafanya leo, Utawajibishwa wewe na genge la wezi wenzako ndani ya CCM mda utapofika, mnaifanya nchi hii kama mali yenu binafsi, wako wapi kina Mobutu?

Gadaffi, Samuel doo, n.k? Mtakuja jibu yote haya tena kwa machungu. Wananchi tuna machungu sana na nyie pamoja na familia zenu. YANA MWISHO.

Nape alikuja kwa vishindo sana wakati alipo washambulia wakubwa zake kumbe alijisahau kuwa ukianzisha vita unatakiwa kuwa na msimamo haswaaaaa matokeo yake mafisadi wakamteka akaingia kingi na sasa yuko wapi ametoka kwenye mbio za ukombozi kawafuata mafisadi kwa njia ati kauli ya kula na kipofu ili huko mbeleni ashinde vita ya mafisadi.

My Take;
Nape hutoiweza vita ya hao mafisadi at the end of the day watakuua tu politicaly nayo ni tayari then wataondoa roho yako kabisa
 
wana jf nawaomba tumpe mda huyu kijana naamini siku si nyingi naye atafanya maamuzi na hasa kwakuwa yeye hana doa la ufisadi mimi ndivyo ninavyo mwona hivyo tumpe mda maana huyu niimwenzetu aliye kambi ya maadui akifanya kazi ileile ya kuwaangamiza maadui wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom