Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Nape anavyowaza kule fb. naomuomba msamaha kwa kuhamishia mawazo yako huku ila nadhani sio vibayaNape Nnauye
‎(('....TOKA MOYONI MWANGU...
Kwanza nianze kwa Kuipongeza Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM. (CC) Kwa kukutana na kufikia maamuzi ya busara na yenye tija kwa Taifa.
Na pia nimesoma kwa makini yaliyojadiliwa na kuridhiwa na Kamati kuu ya CCM (CC)
Kama taarifa ilivyotolewa na kusainiwa na katibu wa itikadi na Uenezi wa NEC Ndugu Nape Nauye.
*...MASWALI YANGU YA KITOTO NINAYOJIULIZA BILA MAJAWABU...*
1. Hivi kamati kuu haijajiuliza kwa nini Chama Cha Mapinduzi kimepoteza Mvuto na kushindwa kuwashawishi Vijana kukupenda....?
2. Hivi Kamati Kuu (CC) Haijajiuliza kwa nini ilishindwa Jimbo la Arumeru Mashariki.. Licha ya kutumia mabilioni ya fedha na raslimali watu....?
3. Hivi Kamati Kuu (CC) Haijajiuliza na kujadili Kwa nini wanachama na Viongozi wa CCM na wa Serikali wanakihama Chama cha CCM.......?
4. Hivi Kamati Kuu (CC) Haijajiuliza Chanzo cha mgogoro wa CCM Mkoani Arusha unaopelekea Vijana na Wanachama wake Kuhama......?
6. Hivi Kamati Kuu (CC) Haijajiuliza kwa nini mwaka huu 2012 ni Mwaka wa Uchaguzi kwa CCM.
Lakini ajabu kuanzia mshina (Mabalozi) na Matawi wanagomea kujaza fomu za uongozi karibia Nchi nzima.....?
Haya na Mengine kwangu yameonekana ni Maswali ya Kitoto Sana nimejiuliza Mwenyewe nikaishia Kupata Majibu,
Hapa Tanurini natajia Kupata MAJAWABU ya Maswali Yangu hayo))
SIJAAMINI KAMA HAYA NI MASWALI ANAJIULIZA SAMBALA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!​!!KWELI YA KITOTO!!KAMA ALIVYOSEMA
Nape Nnauye TAKWIMU ZINAONYESHA KINONDONI PEKEAKE TENA KWENYE MATAWI TU ACHILIA MBALI KATA NA WILAYA TUNAO MAPROFESA, WANAJESHI WASTAAFU, MA DOCTARI, GRADUATES NK
Alikula kona fasta na wapambe wakeHata jana tulishuhudia MP akizomewa live lakini Mwenyewe akikanusha kuwa hakuzomewa..
Hoja ya msingi ni kwa nini waongozwe kwa shinikizo it doen't matter ni shinikizo la nani elewa kuwa hiki ni chama tawala tena kikubwa lakini mambo wanayo yafanya hayaendani na wao walivyoLakini kuna watu si watafiti kazi yao ni kushabikia tu kama mazuzu, kwani ile kamati ya mashirika ya uma ni ya chadema au ni ya Bunge? CAG ni wa chadema au wa Serikali. Tambua hayo kwanza kuliko kuandika upuuzi wako wa kichadema hapa. @ duble.
kamnukuu mtu,halafu haya ndiyo majibu ya nape:
- Nape Nnauye NAJIULIZA HAYA NDO MASWALI ANAJIULIZA KIJANA WA KITANZANIA??????!!! HUO MVUTO UNAOSEMWA UMEPOTEA KWA TAKWIMU AU KWA KUAMINISHWA GENERALI TU?43 minutes ago ·
1 Nape Nnauye HAYA MABILIONI YALIYOTUMIWA ARUMERU NI YAPI NI TSHS NGAPI HASA MPAKA YAITWE MABILIONI?42 minutes ago Nape Nnauye HIVI NI UJANJA MTU KUHAMA CHAMA NA CHAMA KINGINE KIKAMPOKEA AU CHAMA MAKINI KITAJIKITA KUTAFUTA WANACHAMA WAPYA KUTOKA KUNDI KUBWA LA WATANZANIA WASIO KUWA NA VYAMA??? UNAJIKITA KUCHUKUA SCREPERS?!!!!!!41 minutes ago Nape Nnauye VIJANA WANAOHAMA ARUSHA NI KINA NANI NA HISTORIA YAO NDANI YA CHAMA ZAIDI YA KUTUKANA VIONGOZI WA CCM NI NINI?40 minutes ago Sleim Salum CCM ni chama kikubwa40 minutes ago Nape Nnauye TAKWIMU ZINAONYESHA KINONDONI PEKEAKE TENA KWENYE MATAWI TU ACHILIA MBALI KATA NA WILAYA TUNAO MAPROFESA, WANAJESHI WASTAAFU, MA DOCTARI, GRADUATES NK WAMEGOMBEA , ANAYEDANGANYA ETI WATU HAWATAKI KUJAZA FOMU NANI?38 minutes ago
Duble unaakili sana, umejuaje?atakuja hapa atasema "nashukuru kwa kutembelea wall ya katibu mwenezi wa CCM"