Nape Nnauye ni silaha itakayomuumiza sana JPM 2020

Ndo maana ameamua kumuibua maa a kapotea sana mbele ya magu hakuna sakufurukuta mifumo yake yote iko vzr ni kama msumeno
Kuna watu walimuona Jpm kama jamaa fulani hivi a siyejua kitu
Kumbe jamaa anaona mbali kaharibu system yote kapanga yake ambayo kuitikisa mpaka atoke madarakani ila kwa kina membe nape bado sana
 

Mwisho wa kutembelea nyota ya baba ushafika. Time will tell. Siasa bila kuwa mnafiki tafuta kazi nyingine ya kufanya
 
Aliekuambia nchi inakabidhiwa kwa vikaratasi nani.?
Nape amejichokea. Hana sifa hizo anazopewa. Amebebwa na jina la mzazi na kujuana kwa kina wao.
Mambo yamebadilika sana. Kama hajabadilika au haoni haja ya kubadilika atafute kazi nyingine.
After all uwezo wake kiakili ni mdogo sana
 
Mara pa Membe ana anzisha chama cha siasa, litakuwa pigo kubwa la CCM
 
Umesema vyema ...kongole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kumbe kajoin JF jana tu ningejua nisingemjibu.
 
Very well said. Tatizo ni elimu.
 
Mwanawasa alivyomgeuka Chisano? Zambia na Msumbiji wapi na wapi? bottom line LEAVE NAPE ALONE
hicho unachokisema nimeshakirekebisha mkuu. Ni fredy Chiluba. Lakini hiyo haiwezi kutoa ukweli wa hii coment uliyoijibu. Matatizo ya watu kama ninyi muwe ccm ama ukawa hamuishi kwenye dunia ya ukweli mnaishi kwa kuota. Hivyo upo sawa I will leave you and your opportunist politician His excellent Zitto Kabwe
 
what is ZZK? once a traitor will always be, nitoe kwenye mambo ya ajabu kama huyu bwana, am just another dude on the planet so to say

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…