DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Katibu wa itikadi na Ulegezi wa CCM Nape Nnauye leo Atasikika ktk kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Salama Jabiri..JE NI NAPE YULE WA POROJO ZA KISIASA AMA ATAKUJA KIVINGINE.stay tuned
nape ndio nani jamani? mbona mimi simjui!
naandaa rambirambi
ni mchezaji wa azam fc