DoubleOSeven
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 661
- 143
Wakati huo alimsindikiza baba yake kila mahali (akasahau kusoma). Leo ameteuliwa kuwasindikiza babu zake, Msekwa, Wassira, Chiligati, na Mukama. Wakati huo alibeba kinanda cha baba yake, leo hii itabidi abebe ugoro wa babu zake ndani ya chama. Wakati huo alicheza kinanda, leo hii anacheza rumba la nguvu ya umma na JF.
Vuta hisia, kama uliwahi kuishi nyumba moja na babu yako. Jiulize ni kwa namna nyingi kiasi gani asivyokubaliana na mawazo yako. Jiulize kuhusu babu kutokupenda kuonekana kwamba hajui. Jiulize kuhusu babu kutokubaliana na namna za kisasa za kufanya jambo. Babu anapenda kusikilizwa na kuheshimiwa
Mkuu Gurudumu, inabidi Nape awaambie hawa Babus kwamba, "snorting ugoro is dangerous to the society. It accounts for such carcinoma as Tanzanias backwardness for starters and lately, the evils we are all witness to save for other forms of cancer". Ugoro snorting aint necessarily a habit to pass down to other generations.