Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
- Thread starter
- #41
Wakuu, hilo la Nape kutokusoma nililitaja tu by the way. Elimu ya mtu ni muhimu, lakini siyo sana kwenye siasa za tz. Angalieni makada na viongozi wa vyama vingine pia. Lakini wanachapa kazi nzuri na wanakubalika kuliko hao wasomi wakuu.
Hasa mimi nilikusudia kujiuliza kama Nape atafanikiwa kutimiza malengo akiwa ndani ya kundi la wazee waliopitwa na wakati kwa kiasi kikubwa hivyo. Na kama kweli JK yuko serious kuunda timu kama hiyo eti kuleta mabadiliko tarajiwa, kama yapo